Heshima yenu wana Chit Chat, jana jioni nimetumiwa pesa kwa M-Pesa na mtu nisiyemjua na jina limeonyesha ni la kike. Nilipoipiga namba hiyo haikupatikana mpaka sasa haipatikani.
Hapa nilipo nimeuawa vibaya mno na shilingi 200,000/- zimejileta bila jasho. Wakuu niitumie hii pesa na madhara ni yepi endapo sintaitumia au nikiitumia.
mkuu hapo umetufunga kamba, ME NINAVYOJUA KUWA KAMA UKITUMIWA PESA KWA MPESA AMA TIGO PESA jina ndo lina-appear na sio namba!!!!!!!!!!!! sasa cjui wewe uliiipataje hiyo namba..............:wacko:
Hapa nasubiria comment ya laaziz wangu cacico nipate nguvu ya kuutumikia utatu vema.mmmmmh unatuuzia chai wewe.....
HAPO ULIPO UNAONA DONGEEEE? UNATAMANI NEEMA INGEKUSHUKIA UWASAPULE VIZURI WATOTO WA KWENU MULEBA! SHINDWA Bishanga! kha!Zirudishe voda,pesa ya dhuluma ni mbaya sana,na kama alivyosema mdau hapo juu ukute ni hela ya tiba au karo ya shule.
Nimeuliza customer care umesikia charminglady??
niseme nn bby wangu, zaidi ya kumshangaa Bishanga anavyomuonea wivu huyo kaka, hili bepari hili? kha!