Mzurulaji
JF-Expert Member
- Sep 25, 2021
- 292
- 691
Habari zenu me nikijana mwenzeni nina umri wa miaka 25 nimetaja miaka ili mtu anaponishauri haitompa ugumu katika kutoa ushauri.
Nina hali ambayo inanisumbua kwa upande wangu ni jambo kubwa na nahitaji ushauri.
Binafsi ninaye mpenzi wangu tayari ambaye kwasasa ni mchumba wangu sababu pande zote za wazazi tushatambulishana na kuvishana pete, najua kidini tunakusoea kukutana kabla ya ndoa ila binafsi hajawahi kataa kunipa pale napohitaji.
Kuna hali ambayo kwangu si nzuri kwa week za hivi karibu nimekuwa nikitamani sana wanawake sana yani kupita kiasi, mwingine anaweza sema ni hali ya kawaida ila me binafsi nitakataa sababu imekuwa too much. Kiasi cha kunitisha
Kuna muda ninaweza kuwa na mtu wangu tumetoka kukutana kimwili nikishaingia tu mtaana kusaka chochote kitu mwanamke yoyote nitakayemtia machoni mwangu nitatamani kukutana naye kimwili kitu ambacho naona si sawa, sometimes naelewa sifa ya mwanaume ni kutamani, mwanamke mzuri ila wadau hata wanawake wasiovutia natamani kukutana nao kimwili, nipo kwaajili ya kujifunza kutokana na mawazo yenu au ushauri tafadhali dhihaka haitonijenga nipo hapa kwaajili ya ushauri kwa mtu yoyote aliowahi kukutana na hali kama hii naomba anishauri naomba sana sana maana inanitesa sana.