Niite jina lolote ila ndivyo nilivyo

Niite jina lolote ila ndivyo nilivyo

Nimetoa maoni kama mleta mada alivyosema aitwe jina lolote ila naona kuna viluwiluwi vimeniandama balaa. Sasa kam wote hatutalipa kodi hiyo Serikali itakua ya aina gani?
 
Niite msaliti,mwizi,sio mzalendo au vyovyote ila haya yafuatayo siyafanyi.

1. Silipi kodi.
Sitalipa na huwa silipi kodi ya moja kwa moja au wanaita direct tax. Huo ni utaratibu wangu,silipi na huwa nafanya kadri niwezavyo kuikwepa,nikiuza au kununua sidai lisit,hata nikibanwa sana bora nikubaliane na afsa kodi tuigawane ila isiende serikalini.

2. Siwataji na sitawataja wala rushwa na wakwepa kodi
Hata kama ntamjua mtu anaehujumu uchumi sitamtaja kwa wahusika na wala sina mpango huo isipokua tu waovu kama majambazi.

3. Mimi sio mzalendo.
Kuwa mzalendo maana yake ni kua uwaheshimu viongozi walioko madarakani(profesa shivji). Hivyo basi mimi sio mzalendo na wala sina huo mpango.

4. Sipigi kura na wala sina huo mpango.
Sina mpango wa kuja kupiga kura nchi hii hadi pale ntakapokua nimejiridhisha mwenyewe.

5. Kuwasaidia watu wanaotaka kukwepa kulipa kodi.
Kwa kua nimefanya kazi na watu wa mapato kwa muda,ukijumlisha na kua mimi ni mtu wa mahesabu najua wapi kuna udhaifu wa kukusaidia kutolipa au kukwepa kodi,ntamsaidia watu kadri niwezavyo wakwepe kulipa kodi.

Hayo matano tu. Unaweza kuniitaje?au unaweza kusema nikoje?

hiyo namba 4 mkuu hauna tofauti na mimi sito kaa nipige kura maishani mwangu never! never! never!
 
Mkuu,
Umetumwa na CCM wewe!Si bure!

Unahamasisha watu waasipige kura ili muendelee kupata ushindi wa MEZANI!Halafu nani kasema kuwa uzalendo ni kuwaheshimu viongozi wa nchi?Uzalendo ni kuheshimu misingi ya katiba ya nchi iliyopo, hata kiongozi wa nchi akienda kinyume na misingi hiyo unaweza kumwajibisha.

Hatudanganyiki!!
 
one day indirect tax yangu nitaidai tuu................kwa kweli,ngoja nivute nguvu..............sitoitaji ubia,wala wakuniunga mkono hiyo siku........ahahahahhhhah..........
 
Yani mi tangu nijitambue sijawahi toa mchango eti wa ujenzi wa shule wala nn. Mana kama vijijini basi watendaji umewapa ya pombe na kutombea. Mijini nako hivyohivyo wengine kununulia mahitaji na kusomesha. Ninayokatwa kwenye mshahara yatosha siyo mi nitoe hela ya mwenge ikaeneze ukimwi unapolala
 
Acha kujidanganya wewe kenge maji. Kw kifupi kodi unalipa kila siku. Mf mahitaji yako ya kila siku yote unalipa kodi nukta.

alshakuambia direct tax halip its only indirect tax wew kwel pimbi maji.
 
Back
Top Bottom