Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,395
- 18,203
Hawapo wakati majengo yao tunayaona kama lile la pale Posta.
Uliwahi kuingia Ibadani kwao na kuwachunguza vizuri?Hawapo wakati majengo yao tunayaona kama lile la pale Posta.
Na matangazo yao tunayaona kwenye magazeti.
Pia na viongozi wao tunawaona kama yule Mzee Chande.
Au wewe huoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya Ibada ni mambo yao.
Sawa hapo Kwanza umekubali kuwa Freemason wapo.Wewe ndio huelewi.
Ninasema Freemason pamoja na mambo yake mnayozungumza huku havipo.
Kama vipo vidhibitishe hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekubali wapi kwamba Freemason ipo?Sawa hapo Kwanza umekubali kuwa Freemason wapo.
Sasa turudi kwenye mambo yake.
Unasema mambo yake yanayozungumziwa huku hayapo.
Ni mambo gani hayo hebu tueleze wewe usitake ya kuambiwa.
Nini nini hasa ambacho unafikiri Freemasoni hawakifanyi na kwa sababu gani ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio huelewi.
Ninasema Freemason pamoja na mambo yake mnayozungumza huku havipo.
Kama vipo vidhibitishe hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo juu, umesema ulienda hadi eneo lao, karibu na YMCA, na ukawaomba wakuunganishe.Nimekubali wapi kwamba Freemason ipo?
Hebu nioneshe nilipokubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni eneo wanalotangaza kuwa ndio makao ya Freemason yalipo.Hapo juu, umesema ulienda hadi eneo lao, karibu na YMCA, na ukawaomba wakuunganishe.
Au sio maneno yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana like jengo Lao la pale Posta hujawahi liona ?Ni eneo wanalotangaza kuwa ndio makao ya Freemason yalipo.
Nilienda nikihitaji kuwafahamu na waniunganishe, hakuna chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nani alikuambia kuwa Freemason wanamwunganisha mtu yeyote anayeenda kuulizia pale kwenye ofisini yao Posta ?Ni eneo wanalotangaza kuwa ndio makao ya Freemason yalipo.
Nilienda nikihitaji kuwafahamu na waniunganishe, hakuna chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mijadala ya freemason wao wanasema ni lazima uwe na dini yako yaani uwe unaamini mungu ndio maana hata ktk Alama zao Kuna Alama "G" ambayo huashiria God au GreatnessMtoa mada umesema sio dini, je mtu anaweza kuwa freemason wakati anaendelea kuabudu katika dini yake ya kawaida?