Niijuavyo Freemasonry

how do you connect? ?
 
Roho ya binadamu na Mungu/shetani zinakutana pale ambapo kuna damu, ndo maana watu wanatoa kafara ili roho zikutane na Mungu/shetani, ili Mungu (wakristo) alishamtoa YESU kristo Kwa hy haitaji kafara tena
Mada nzuri sana na kubwa mno! Lakini bado hapo ni lugha ya picha tu kwani damu kama damu si issue ila kile kinachomaanishwa na damu. Sina uhakika na ukomavu wa watu humu na nitaishia hapa kwa sasa.
 
Most things from outside world is an illusion. Power kubwa ya binadamu katika kufanya mambo inatokana na energy inayotoka ndani (within). Kuna power kubwa sana kwenye roho zetu, but miili yetu most times ni dhaifu, na circumstance za maisha zinafanya mtu asijitambue na kupoteza focus na kushindwa kujitambua.
Most times watu wenye vipaji waliojitambua wana mafanikio makubwa na wana maisha ya furaha sana kwa sababu wanakuwa wameshajua purpose yao, so wanajua wapo hai kwa sababu maalumu, na maisha yao yana maana kubwa sana. Kama wengi wetu wangejitambua wana purpose, chaos nyingi zingepungua duniani, na mahusiano mengi yangekuwa na uaminifu mkubwa, kwa sababu hakuna ambaye angemuonea mwenzake wivu ama chuki kwa sababu kila mtu ameshatambua sababu yake ya kuwa hai. Na kila mtu angejua ana upekee mkubwa.
Samahani nimetoka nje ya topic kidogo.
 
Kabisa
 
Tafuta kitabu kinaitwa UNDERSTANDING YOUR POTENTIAL kimrandikwa na Dr. Myles munroe. Utajua kwamba kila mtu alipozaliwa alipewa kipaji. Tatizo linakuja katika namna ya kutambua na kukitumia kipaji.
 
Body, mind & Spirit connection inahitaji displine ya hali ya juu, sio simple thing as people talk.

Hivi siku ikigundulika huyu anayeitwa shetani ndiyo mungu au zinazoitwa nguvu za giza ndiyo nguvu za mungu itakuwaje? utamlaumu nani?

Be positive, Stop Being Brainwashed, Think Big

N.B kama unataka kujua freemason ni nini soma kitabu cha Sir Andy Chande(Mimi sio miongoni mwao)
 
Ka-screenshot kadogo mkuu
 
Kanumba freemason?? Wa lodge ipi?? Embu tusimpe status asiokuwa na uwezo nayo...... Shida ya bongo yoyote akifanikiwa tu anaitwa freemason. Ile ni fraternity tu kama lions club tu ila watu wanaikuza sana kwa mambo ya kufikirika.

Huenda alikua kwenye secret society moja wapo maana zipo zaidi ya 1000 ila wabongo tumekariri freemason tu kana kwamba ni wabaya ilihali siamini kama kuna yeyote humu kasoma katiba yao walau kujua rituals zao na operations zao wengi wanajitungia tu mawazo yao.

Ni vizuri watanzania tupende kusoma kabla hatujachangia kitu kma mtoa mada ingawa mnampinga lakini angalau kajituma kutafuta ukweli sio kukaririshwa tu kma wengine alafu ukiulizwa utoe ushahidi unakwama!!

Big up mtoa mada you're a great thinker
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…