Hongera kwa hoja nzuri yenye ufafanuzi ambao unaleta maana.naifahamu kiasi freemason natamani kuifahamu vizuri yaani kindakindaki,freemasoni hawana ubaya wo2te na hawakuwahi kileta ubaya mahali po2te duniani ndivyo navyo jua freemasoni wanahubiri amani wanahubiri kujitambua wanahubiri kujua maarifa,kwa namna nilivo wafahamu wanahubiri uhuru wako wanapenda uijue dunia kinaga ibaga wanataka binadam ajijue ye2 ni nani na kwa na nini anaishi?
je unadha ni kitu gani kiliwahi wapoteza binadamu wengi duniani kama hujui nakujuza kitu pekee kilicho wahi poteza binadam wengi zaid dunian ni migogoro ya kidini na ni kweli vita za siasa zimeua lakini dini zinazidi,wapi freemason walitajwa kuuwa watu au kunywa dam za watu kama watu wanavyo potosha.naendelea kujifunza mengi aliye poati hiyo juu amenipa maarifa zaidi,binafs sipendi unafiki sioni ubaya wa hawa jamaa wakati naendelea kujifnza kuhusu hao watu nilijiuliza maswali haya freemason nini?wanaishi wapi?kwa nini wapo?je ni kweli wanatoa utajiri?
je wanatoaje huo utajir au fedha?iko hivi freemason ni watu wenye ufahamu wa juu sana mtu yeyote ukiona amejiunga huko ujue anajitambua na anajua nini anafanya,ni kweli hawajamaa ni watu maarufu dunian amini nakwambia wanafundisha amani yako ya ndani si kukutisha,tulie nje ndio tunaonyeshana vitisho na kuwahukumu.natamani kuijua dunia natamani kumjua binadam ni nani hasa,nataman kuujua uhuru wangu, tuendelee kujifunza mengi ili tuwe huru