Kwa kifupi , fmason ni nyoka wenye umbo la samaki.
Kama unataka, kuamini niandikacho hapa, tafuta maelezo ya Sir Chande enzi za uhai wake alisema mambo makuu baadhi ni
1.umri wa kujiunga umewekwa maalum
2. Potential ya mtu anayejiunga (uniqueness and talents),
3. Ibada zao au makusanyiko yao (hapa kwenye makusanyiko, alisema pana mambo yanafanyika alipoulizwa ataje akasema ni kwa waliomo/ members tu siyo ya kutangazwa kwa asiyekuwa mwanachama).
4. Sadaka akasema wanatoa (akakataa kusema sadaka ya aina ipi)
5. Faida aliyoweka wazi ya kuwa mwanachama alisema hivi, kama wewe ni member na unafanya issue yoyote kama biashara au projects akasema kuwa tender ikitokea lazima utapewa maana wewe ni member . mean that, kampuni ikitangaza tender , wanaangalia kama tender imetoka kwa member wao basi hiyo tender atapewa member wao.
Hii program niliiangalia kupitia kwenye TV station hapo Tanzania, mwaka 2013.
6. Usiri ndiyo kanuni yao ya kwanza.
Mfano, hakuna member anayekanusha kuwa yeye siyo wala kukubali kuwa yeye ni fmason yaani ukimtuhumu member kuwa yeye ni member wa fmason kamwe hatakataa wala hatakubali anabakia kuwa neutral.
Kwa hiyo, fmasons, wapo na utendaji wake ni usiri.
Japo ni Kweli kuwa walianza kama wajenzi huru maana walikuwa wanatembea bara hadi bara/ nchi to nchi kujenga ndivyo walivyoanza.