Niijuavyo Freemasonry

– Wanaoingia kwenye vyama hivi vya siri huanza kupanda ngazi (uti wa mgongo)
hadi juu kwenye kilele cha mlima (ubongo), wakiwa wanapitia kwenye shimo
lililoko sakafuni. Mahali hapo ndipo palipo na hekima (wisdom).

– Utatu (trinity au triune) katika mwanadamu ni moyo, ubongo, na viungo vya siri –
kila kimoja kimepewa kiwakilishi cha alama katika degree tatu za kwanza za Freemason.

Moyo na ubongo huitwa Kaini na Habili. Vyote viwili vinawajibika kuleta usawa kamili (total equilibrium).

– Mti uitwao Pine wenye majani yenye ncha kama sindano ni sawa na mkia wa nyoka wenye kitu kama kidole kinachoitwa mkuki mtakatifu. Hiki ndicho
kinachounganisha mambo ya zamani na yaliyopo (old and present)

– Uti wa mgongo ni sawa na nguzo yenye ngazi 33 ambazo wakati mwingine huitwa nyoka au wachawi.

Hii ndio fimbo ya Her-me ikiwa imezungukwa na nyoka wawili, mmoja mweusi mwingine mweupe.



Na ndio maana ya degree 33 za
Freemason.
– Kiungo kati ya ubongo na viungo vya siri mwilini kinatokana na uti wa mgongo
ambao ndicho kiungo chao – yaani ubongo na viungo vya siri huunganishwa na uti wa mgongo wenye ngazi 33.

MKUU KWA POINT HII TU NAKUPA HONGERA , MAANA NILIKUWA NASEMA USHOGA NI RITUAL YA FREEMASON, ILA MAELEZO HAYA YANAJITOSHELEZA, HAPO MKUU UMEUA!
Shimo lililoko sakafuni lenye mwanzo wa hekima, wanalipenda sana na sasa hivi wanawadanganya watoto wadogo wenye ulimbukeni huu mpya kuwa ngono ya kinyume ya maumbile ni tamu sana, ni ajabu kila mtu kawa mpumbavu tu kuona hayo ni maongezi tu ya kawaida, hiyo ni aina tu ya ngono mpya!
 
Huko unakokopi umesahau ku edit hapa....

Tupo 2017,wewe unasema "ifikapo 2011",tunarudi nyuma au tunasonga mbele?
 

Watanzania tujifunze kunyamaza.
 
Kwa hiyo umeambiwa na Yesu!
 
Ntarudi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea ukweli kabisa , yaani freemason wameshaingia makanisani na wanaabudiwa bila wasiwasi

Asante sana kwa mchango wako
Naomba ulete na historia ya hao Freemasons ili kujua wamekuwepo tangu lini na kisha ulete na historia ya dhehebu lako ili tujifunze na kujua jinsi vinavyohusiana ama kutofautiana mpendwa.
 
Mkuu nimeshangaa tu kwasababu nimeshangaa kweli kweli kwenye mada hii....

Nilitaka kuandika mambokadhaa lakini nimeamua kuacha maana naona kama utakuwa ni mvurugano tu...

Nimeamua nimuache mkuu na mada yake na nitasoma tu....

Nmi pia ningependa sana kuona mchango wako hapa mkuu tafadhali sema chochte
 
kwa kweli hizi habari za masonic ma iluminat hakua ambae anaweza kuelezea uhalisia wake, zipo mada nyingi sn zinazo wahusu na nyingi ni upotoshaji na chache ni uhalisia, lakini ukweli frimasoni si chochote si lolote katika vyama ya siri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…