mdada mkiwa
Member
- Oct 9, 2018
- 44
- 63
- Thread starter
-
- #41
Sina utapeli jamani nihurumieni mwenzenu wananidhalilisha sana hii bank sina msaadaSwali: Kama hizo 25 ml.ziliingia kimakosa nawewe ukadhani ndo zile ulizokuwa ukizitazamia, je, zile ulizozitazamia mbona hautuletei mrejesho wake?
Ziko wapi, ulitarajia zitoke wapi ?
Jibu kwanza haya maswali ili wengine tuanze kuchambua. Tatizo mjini kila mtu tapeli, pesa kuitoa sasa mpaka ujiridhishe.
Hao wa kila mtu milioni nilimaanisha wanikopeshe nitawalipa kidogo kidogo au wanipe masharti yoyote nitafanya[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Yaani unawapangia kabisa kila mmoja atoe miliooo... Yaani milioooo kwa mtu tu. Usione hivi, humu kila mtu anashida zake.
Ungesema mtu kama anachochote achangie ungeshangaa mpaka mchana unazaidi ya milioo ya kuwapooza.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] sijala jamani ni storyHizo ambazo ulitegemea ziingizwe na zo umeoeleka wapi?si ungelipa bank?aunuliwaona wajinga ukala na hizo nyingine,umekula milioni 50 halafu sisi tukulipie,wafuate wale makahaba ulikokaanao pale BAR YA TABATA.
I believe God is bigger than my problem atanifanyia njiaKina Waitara wenyewe hawalipwi hata mia zaidi ya kurudishiwa ubunge wa mwaka mmoja uliobaki. 25m utaipata wapi?
Huyu atakuwa ni Miss Natafuta!
Asante kwa kunidhalilisha zaidiHiyo pesa uliyonayonayo anzisha biashara ya wanzuki na gongo mara moja mpaka mwezi unaisha utakuwa umerejesha laki moja-tano kwa kuwa wewe ni wakike unaweza ukautoa mwili wako kwa muda maalumu wakati huohuo unaofanya biashara ya gongo unakuwa "Multipurpose worker" [emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa kunidhalilisha zaidi ila Mungu yupoHiyo pesa uliyonayonayo anzisha biashara ya wanzuki na gongo mara moja mpaka mwezi unaisha utakuwa umerejesha laki moja-tano kwa kuwa wewe ni wakike unaweza ukautoa mwili wako kwa muda maalumu wakati huohuo unaofanya biashara ya gongo unakuwa "Multipurpose worker" [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo hadithi jamani siwezi kuandika nikaeleweka kutokana na hali mbaya niliyonayo jamani naona dunia chungu bora nife tu jamaniAcha hadithi za kitoto.
Maelezo yako haya shawishi kukusaidia.
RUDIATENA KUTUNGA HIYO HADITHI
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Angekuwa yeye ange post mmu
Watu wanauliza vipi kuhusu ile 25 mil ambayo iliitarajia kuingia kihalali.Mimi sio tapeli jamani ila kila mtu ana maoni yake na ninayaheshimu hii story ni ndefu sijui nianzie wapi na niishie wapi hiyo milioni 25 haikuingizwa yote iliingizwa 12m na mimi nilikua na deni na hiyo bank so wamepiga mahesabu natakiwa kurudisha 25m mimi naipata wapi mwenzenu sina hata pa kuanzia jamani sina mali zozote zaidi ya fridge na godoro langu uwiii mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nipo kitandani hapa sina hata jero ya vitafunwa nimelichukua jungu la ubwabwa wa jana lipo kwenye meza naperuzi JF.Igawe kwa watu 50k wa jf kisha jibu utakalopata uombe wana jf wakusaidie jero jero hizo.
Siku ukijitoa uhai na kufa utuambie tutatoa michango ya rambirambi lakini sio kulipa deni