Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

okay if u are what you say you are then go to Arusha ,to see and to be seen.Seeing is believing!
Kiufupi naweza kaa popote ila niko confused which is best...! Napenda hizi majiji mbili sana.
 
Rafiki deal zote ziko Dar nje ya Dar hutoki labda ukalime. Rafiki wengi wanakimbilia dar huko vyuma vimekaza
Si kweli...kila mtu ana jicho lake la kutazama fursa. Mfano Fursa ninazoziona hapa chugga Dar sizioni so no way nihame Arusha nije Dar.So the fact on the table is hakuna uniformity katika spectrum ya kuangalia fursa.Mf pia utalii Arusha ndio apex huwezi kumshauri mtu aache utalii Chugga aje aufanyie Dar.
 
Sante! Mkuu nawaza km wewe vile
 
Nakuelewa braza kabisa..! Unajua arusha siyo mgeni kiivyo pia maisha siyo ghali hivyo labda starehe ndiyo ghali kinamna fulani.
 
Huhuhhhh! Haya bhana nipokee next month..?
 
Rafiki deal zote ziko Dar nje ya Dar hutoki labda ukalime. Rafiki wengi wanakimbilia dar huko vyuma vimekaza
Si kweli nipo dsm for more than ten yrs.. Kuna pesa ya kuishi tuuh ila kuaccomplish dream ni too challenging!
 
Mkuu nishawishi why ARUSHA ingawa nina kijiuzoefu na utarii..
Niliwahi kupita kidogo Arusha,niliishi pale Kaloleni,nilipokua nikiishi kuna mama mmoja wa kitanga alitokea kunikubali,one day akaniomba nimsindikize kwenye biashara yake ya mawe,alikua anatoa mawe Lushoto anaenda kuuza Arusha,nakumbuka tulitoka home mida ya saa2,tukapitia pale Metropol kulikua na mgahawa unaitwa GREEN HEART kama sikosei,tukapiga tea ya hatali,nakumbuka yule mama aliacha kama 25k pale mgahawani as a bill Kisha tukaelekea sokoni kuuza mawe,tukaingia kwa mdosi mama akapiga deal la adabu,sikwambii alipiga bei gani maana "haikuhusu" tukaelekea Bank NBC mama akaweka mzigo,Kisha tukaelekea Jogoo house kutafuna nyama,baada ya kupiga lunch pale jogoo bi mkubwa akanipiga 400k "manina" kwa mwaka 2007 na kwa aina ya maisha niliyokua nayo akawa kanitoa sana...jioni tukaibukia pande za 7x7 kula mishikani!!from there nikaipenda sana Arusha na nikaona kumbe Arusha ni poa sana,so one day napenda nije kuishi Arusha Insha'Allah!
So just kwa u bordygud wa muda mfupi tu nikapiga pesa.
 
kwamaana hiyo Arusha ni sehemu wanayoishi wababe sana kama jamaa sio mkorofi awe ku-negotiate na hao wakorofi akajiepusha nao basi ata servive ...

Arusha ni sehemu nzuri sana mkuu. Hila maisha ni ghari sana sio sawa na mbeya
 
Karibu mbeya mkuu nitakuw mwenyeji wako huku mabomba yanatoa maziwa na asali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…