Mr.Teacher
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 450
- 176
Mwanangu Arusha hakuna huo ukabila na ukanda unaousema kabisa, kumbuka hili ni jiji lenye interaction na mataifa mbali mbali sana sasa huo ukabila unatoka wapiMkuu hamia mbeya tena nakushauri nenda Tunduma.Nakushauri uende huko kwa sababu zifuatazo
1:Hakuna ukabila kwenye ile boda,watu hawashughuliki kujua wewe ni nani na umetoka wapi,wapo bize na kutafuta pesa.Arusha kuna ukabila kiaina,ikiwa wewe si mzawa wa kaskazini itakuchukua muda kutengeneza chaneli hususani za biashara.
2:Ukiwa Tunduma utakutana na watu wa mataifa mbalimbali ambao wanafanya ujasiriamali wa kuuza na kununua bidhaa kama vile samaki,mahindi,ulezi nk kwa mtaji mdogo unaweza ukaanza na baadaye ukakua taratibu.Arusha fursa kama hizo zimebanwa sana.
Ikiwa utakua kimtaji na ukawa unaishi mbeya ni rahisi ukanunua mazao ya chakula na kupeleka Arusha kuuza,ukiwa Arusha huwezi kununua mazao kule na kupeleka Mbeya.
4:Watu wa Mbeya ni wakarimu kuliko wale wa Arusha,ni rahisi kupokelewa Mbeya hata na watu wasiokujua na ukaishi nao na kufanya mambo yako.Arusha ni ngumu kupokelewa kirahisi hususani kama sio mwenye asili ya kaskazini mwa Tanzania
Mbeya fursa ni nyingi, maisha ya chini sana, kuanzia nyumba za kupanga hadi vyakula viko chini na vinapatikana kwa wingi.Why mbeya mkuu nisaidie kwanini mbeya n not arusha..!
okay if u are what you say you are then go to Arusha ,to see and to be seen.Seeing is believing!Mimi siyo wa mchezomchezo pia, durable and courager...
Mkuu mimi siyo wa mchezomchezo baba yangu kapiga WW2 hivyo hii damu siyo ya mchezo, ni mseminari nimefunzwa uvumilivu ni mtiifu zaidi ya watu wasiyojulikana, mpianaji pia...!500k usisogee Arusha joooh.Baki tuu huko huko kwengine au Nenda Namanyere kabisa.
Basi cheza na fursa sasaAfu nina kijimchongo fulani USA ila hapa dsm waziba fursa wengi ata ndugu wanakubania waafrika bhana..
Mimj mjanja mjanja hii mikoa iliyozubaa hainifai sana..!Hilo inategemea channel zako za pesa au biashara ndizo zitakazo amua. Unaweza kukuta unatakiwa kwenda Ntwara au Katavi kwa ntoto wa nkulima. Maisha ni popote
Katavi hapana aisei..!Namanyere kama unaenda kirando huwa wanakula pale,unaweza kwenda kirando au ukaenda zako katavi mkuu.
upo ukabila mwingi tu usikatae.Mwanangu Arusha hakuna huo ukabila na ukanda unaousema kabisa, kumbuka hili ni jiji lenye interaction na mataifa mbali mbali sana sasa huo ukabila unatoka wapi
Kwa hili ni kweli kabisa..Mkuu hamia mbeya tena nakushauri nenda Tunduma.Nakushauri uende huko kwa sababu zifuatazo
1:Hakuna ukabila kwenye ile boda,watu hawashughuliki kujua wewe ni nani na umetoka wapi,wapo bize na kutafuta pesa.Arusha kuna ukabila kiaina,ikiwa wewe si mzawa wa kaskazini itakuchukua muda kutengeneza chaneli hususani za biashara.
2:Ukiwa Tunduma utakutana na watu wa mataifa mbalimbali ambao wanafanya ujasiriamali wa kuuza na kununua bidhaa kama vile samaki,mahindi,ulezi nk kwa mtaji mdogo unaweza ukaanza na baadaye ukakua taratibu.Arusha fursa kama hizo zimebanwa sana.
Ikiwa utakua kimtaji na ukawa unaishi mbeya ni rahisi ukanunua mazao ya chakula na kupeleka Arusha kuuza,ukiwa Arusha huwezi kununua mazao kule na kupeleka Mbeya.
4:Watu wa Mbeya ni wakarimu kuliko wale wa Arusha,ni rahisi kupokelewa Mbeya hata na watu wasiokujua na ukaishi nao na kufanya mambo yako.Arusha ni ngumu kupokelewa kirahisi hususani kama sio mwenye asili ya kaskazini mwa Tanzania
Okay dude...you are warmly welcome at Arusha.Talking about ex seminarians i know absolutely what the hell are you talking about.As a man and according to what you said about you therein above the city is applauding for you.Welcome lets keep on rolling the ball.Mkuu mimi siyo wa mchezomchezo baba yangu kapiga WW2 hivyo hii damu siyo ya mchezo, ni mseminari nimefunzwa uvumilivu ni mtiifu zaidi ya watu wasiyojulikana, mpianaji pia...!
Dsm naona kunanicheleweshea kufikia my dream..
Thank you very much!In Arusha Life is much easier and there are also many opportunities to succeed in life...Thanks
Sante!Hamia arusha uzoee ugumu wa maisha.then hamia popote Tz utakuwa emepata maujanja.
Mmhh! Ya ukweli haya??Easier as in what?Accomodation is fuckin expensive,nobody will help you when in need,if you go to mbeya some parts accomodation is so cheap,l used to live in a house of 3 rooms,sitting room and a toilet,water and electricity was available in the house,the rent was 85000 Tzs.which opportunities are you referring to,which are not in Mbeya.Pliz elaborate.
Ata ukiwepo kawaida ni changamoto ndogo hizo...!Mwanangu Arusha hakuna huo ukabila na ukanda unaousema kabisa, kumbuka hili ni jiji lenye interaction na mataifa mbali mbali sana sasa huo ukabila unatoka wapi
Kiukweli mbeya kunashawishi kifursa!Mbeya fursa ni nyingi, maisha ya chini sana, kuanzia nyumba za kupanga hadi vyakula viko chini na vinapatikana kwa wingi.
Unaweza kuwekeza hata shambani, kuanzia Mbeya, Songwe hadi Rukwa kuna fursa kibao za kilimo na mashamba bei ya Kawaida tu.
Kwa mjini nakushauri Mbeya mjini ama Tunduma.... Tunduma pako poa zaidi mzunguko wa hela upo kifupi huwezi kulala na njaa labda uwe mzembe tu....
Arusha kunafaa kwenda kutumia pesa sio kutafuta pesa.
100% correctAta ukiwepo kawaida ni changamoto ndogo hizo...!