Nihamie wapi kati ya Arusha na Mbeya?

Okay! Understand braza..
 
Kama unaudhoefu wa utalii njoo Arusha, kuna jumla ya makao makuu ya ofisi za kitalii 724 ambayo ni zaidi ya 96% ya makampuni ya kitalii yote yanayofanya kazi zake hapa nchini.
Mkuu in two weeks to come nakuja, please nitakutafuta unioneshe vichochoro jamaa yangu.
 
Kwa mujibu wa data za per capita income za serikali,MBEYA inafuata baada ya dar so hamia mbeya watu wana purchasing power kubwa
 
Unajua hilo jina ni waungwana tu waliwakatia wale individual wanayofanya kazi pale kwa kua huko nyuma sio masiara, ukimiliki demu wa pale ni sawa na unamiliki mzigo fulani hivi wa maana kwenye life lako
Mkuu nilitua matako bar juzi kati mitaa ya miazini si mchezo braza.
 
Hamia Mbeya, gharama za maisha bado ni rafiki kuanzia chakula mpaka kodi ya nyumba. Apartment ya chumba na sebule Arusha naimani Mbeya unaweza pata family house nzima kutegemea na ubora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…