Nigerian Dude Kills his Hot Girlfriend for Going to the Pool without him.

Napenda John Dumelo's acting
John Dumelo... The Ladies Man!! - YouTube

Hapo yuko na warembo ninao wakubali hasa Omotola

jdn.png
 
Kuna moja hiyo inaitwa Chelsea. Itafute kama hujaiona ni nzuri. Hata The Game ni nzuri pia. Au A Private storm ambayo yumo John Ramsy na Omotola. Hiyo ya Chelsea nilikuwa naangalia daily, ila wameiblock kwa sasa you tube. Ila nadhani nilishaiona kwenye other channels za wanaija wenyewe.

Ndiye huyo huyo.. tena sasa hivi hapa namwangalia kwenye sinema ya At the Altar
 
Kuna moja hiyo inaitwa Chelsea. Itafute kama hujaiona ni nzuri. Hata The Game ni nzuri pia. Au A Private storm ambayo yumo John Ramsy na Omotola. Hiyo ya Chelsea nilikuwa naangalia daily, ila wameiblock kwa sasa you tube. Ila nadhani nilishaiona kwenye other channels za wanaija wenyewe.
Private Storm nishaiona, hizo zingine bado.. nimeona trailer tu.. ngoja nizitafute
 
Mayasa nimeshaziona zote hizo, yani sijuhi kama kuna movie ya John sijaiona labda isiwe online. Lol.

yaani hatujiwezi wengi..
Nyumba kubwa hebu check na hii kama bado hujaiona SCENT OF A WOMAN sequel yake POWER OF A KISS
 
Mayasa nimeshaziona zote hizo, yani sijuhi kama kuna movie ya John sijaiona labda isiwe online. Lol.
we unaangalizia website gani? mie hutumia video.onlinenigeria.com, au bunibuni.com.. manake youtube zingine hazimo
 
Na hapo ana watoto sijuhi wanne vile. She is real hot. Wenyewe wanamuita Omosexy.
Na sidhani kama ana makashfa kwani ni mke wa mtu na nasikia hapendi kuweka maisha ya familia yake public.

tuacheni uutani huyu Omotola huyu
udenda unanitoka kila siku nimeshindwa kumzoea...
 
Nina hizi websites

movies.africanseer.com
naijaguar.com

Ila kama unataka kuangalia The game ipo You tube. Uzuri wa you tube ni powerful hizi blog nyingine zinakuwa slow sometimes.

Mfano you can watch this movie now, ni nzuri pia:

Illicit Affairs - Part 2, Nollywood - AfricanSeer.com

we unaangalizia website gani? mie hutumia video.onlinenigeria.com, au bunibuni.com.. manake youtube zingine hazimo
 
Na hapo ana watoto sijuhi wanne vile. She is real hot. Wenyewe wanamuita Omosexy.
Na sidhani kama ana makashfa kwani ni mke wa mtu na nasikia hapendi kuweka maisha ya familia yake public.

mimi mwenyewe niliposikia ana watoto wanne nilishangaa sana
yaani...kweli ni Omosexy.....Mungu alimuumba siku ya weekend....lol
naona wengine ni siku za kazi....lol
 
hahaa eti aliumbwa week end lol.. alianza kuzaa under age (natania), alianza kuzaa mdogo sana nadhani akiwa 18, hapo alipo hata 35 hajafika..
 
Yes ana miaka 33 kama sikosei ila mume wake anaonekana mkubwa na first born wake ni mkubwa nadhani ana 13 au 14.

Back
Top Bottom