Nigerian Dude Kills his Hot Girlfriend for Going to the Pool without him.

CtVKiLaZA

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
301
37
Sources say that the Hot
Girlfriend went to the pool
without him and when she got
back things got heated up as the
dude was really Angry about the
issue....... So from the exchange of
words then turned bloody when
the boyfriend got hold of a knife
and butchered his girlfriend like
Goat meat
Mkasa uko hapa.
ghanaleak.net
 
I can imagine mabishano kati yao yalivyokuwa; maana wadada wa kinaigeria wana mdomo mrefu kama chuchunge na wanaongea kwa dharau sana wakikasirika; yataka moyo kutomtwanga mtu vibao.
 
Afu mdada ni real Hot! RIP. Lazima atakuwa alikuwa anampeleka puta kijana maana wazuri wa hivi ni wachache Naigeria.

boykillsgirlfriendghanaleak.jpg
 
kuna wadada wa ki tz wanababaika mno na wanaume wa nigeria
na kuponda wa tz.....haya sasa mchunge midomo yenu huko
tusije pokea maiti huku....
 
The Boss usitake nicheke. Wanaume wa kinaigeria najua ni matapeli sana kuanzia kwenye mapenzi mpaka mambo ya ela. Na kwa kuwa ni matapeli wa penzi ni very rare kuua kama huyu alivyofanya maana wana wanawake lukuki; Huyu atakuwa alipenda kweli au ni chizi.

Ila nadhani nao wanapenda wanawake wasio wa naigeria sababu wanawake wao ni dakika mbili mbele. Wana makelele hao usipime.

kuna wadada hapa hapa jf walianzisha thread ya kuwasifia wanaume wa nigeria na kuponda wa tz...
hapa hapa.....
 
Si nilisikia Mtz mmoja staa hivi wa kitz aliolewa na mnigeria.
Ina maana wanigeria hawaoi kabisa, hata player kuna siku ataoa tu
unless kama wanataboo kuoa nje ya nchi yao

Ukiipata hiyo thread tuwekee link. They must be jocking wanaigeria ni wanaume au ni ma player???
 
Taboo nayoijua walonayo ni Juju mwanawane. Ukiingia kichwa kichwa ukaiba mwanamme wa mtu Naigeria unapigwa juju. Wao kwa wao wanawezana kwani wote wanaijua juju.

Si nilisikia Mtz mmoja staa hivi wa kitz aliolewa na mnigeria.
Ina maana wanigeria hawaoi kabisa, hata player kuna siku ataoa tu
unless kama wanataboo kuoa nje ya nchi yao
 
Kuna wakati wabongo walikuwa wanababaikia sana foreigners hata kama mwanaume anatokea msumbiji, malawi au zambia wanaona big deal Lol. Utasikia boyfirend wake ni Mjamaika.
Sidhani kama hii tabia bado ipo.
 
we unasema enzi nyerere watu walikuwa wanatongoza wasichana kwa kusema wametoka Nairobi?????

hadi leo lakini kuna baadhi ya vicheche ukisema we mzambia wanababaika sijui why?
 
Back
Top Bottom