Nigerian Dude Kills his Hot Girlfriend for Going to the Pool without him.

Nairobi au Harare; those days Harare ilikuwa inaonekana kama New York ya Afrika.

we unasema enzi nyerere watu walikuwa wanatongoza wasichana kwa kusema wametoka Nairobi?????

hadi leo lakini kuna baadhi ya vicheche ukisema we mzambia wanababaika sijui why?
 
Nimechungulia hiyo thread nikacheka kukutana na picha ya mcheza filamu Jim, Kaazi kweli kweli. Mbona Kanumba wetu (and others) ni handsome tu na anamzidi mbali Jim au kwa sababu Jim foreigner. Lol.
 
Nimechungulia hiyo thread nikacheka kukutana na picha ya mcheza filamu Jim, Kaazi kweli kweli. Mbona Kanumba wetu (and others) ni handsome tu na anamzidi mbali Jim au kwa sababu Jim foreigner. Lol.

unajua mimi nimegundua wa nigeria wanawapatia mno dada zetu kwa sababu
wa nigeria ni masifa masifa mno.....na hawapendi unyonge hasa kifedha...
sasa na ile style yao ya kutongoza eti ...'i will buy you a house and a nice car and shopping in france
tena kwa kelele na anazungumza hivyo ndo kwanza kamuona dada labda supermarket.....ndio inawamaliza dada zetu..
mwisho watachinjwa kwa kweli lol
 
Nimechungulia hiyo thread nikacheka kukutana na picha ya mcheza filamu Jim, Kaazi kweli kweli. Mbona Kanumba wetu (and others) ni handsome tu na anamzidi mbali Jim au kwa sababu Jim foreigner. Lol.
mmh Mnyonge mnyongeni.. haki yake mpeni!! Jim yuko HOT bana..
 
Uwa nafuatilia filamu za Naigeria hivyo nawajua most of them. Jim is said to be HIV positive, niliona anahojiwa na TV station moja ya Naigeria anakanusha kwa nguvu zote. Kwa ufupi these guys are bad news.

mmh Mnyonge mnyongeni.. haki yake mpeni!! Jim yuko HOT bana..
 
Ikija kwa wanaume kusema huyu ni handsome or not inaweza leta ubishi uso na mwisho. To me Jim ni wakawaida sana. Nikikutana nae barabarani wala sigeuki wala ku notice kama kuna mtu nimepishana nae.
 
Uwa nafuatilia filamu za Naigeria hivyo nawajua most of them. Jim is said to be HIV positive, niliona anahojiwa na TV station moja ya Naigeria anakanusha kwa nguvu zote. Kwa ufupi these guys are bad news.

mimi wa naija wanachoniudhi ni kelele..
wote wanawake kwa wanaume wana kelele mno.....
utasema wanagombana..kumbe wanaongea tu kikawaida....
 
John namkubali sana. Kweli analipa; na sura yake si ya Kighana imekaa kibongo zaidi. Lol.

Afu nadhani uzuri si muonekano tu, ni pamoja na kuongea na acting. Jim anaongea vibaya nadhani inachangia nimwone mbaya. John knows how to talk.

Jim ana act kama hazimtoshi, hata ukicheki comments you tube wanaija wenyewe wanamponda Jim kuwa anaboa.
Vipi John Dumelo unamwonaje?..
 
Si yule bwabwa?
mie mwanamme wakishaanza mhusisha na ubwabwa hata awe anamwaga petrol nuru yake kwangu yote hupotea

John namkubali sana. Kweli analipa; na sura yake si ya Kighana imekaa kibongo zaidi. Lol.

Afu nadhani uzuri si muonekano tu, ni pamoja na kuongea na acting. Jim anaongea vibaya nadhani inachangia nimwone mbaya. John knows how to talk.
 
wanaija hawana issue,basi tu dada zetu kuloboka kwingi,ila na nyie washkaji punguzeni bia na kushinda kwenye mechi na vikao vya kitimoto wapopo wanawashinda hapo tu.wao mechi wanacheza viunoni kwa wake zenu,na wanajituma kweli huko nyie mnashangilia sijui aseno na manchester.
mkirudi hm mshavimbiwa ndovu,vitimoto mnaishia kupiga mbonji.sometyme hiyo routine inaenda mwezi.
sasa hapo nani alaumiwe?wapeni haki yao inavyostahili kina mama bana
 
Back
Top Bottom