Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,222
4,641
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
 
Boko Haram ni matokeo au zao la 'Ndani kwa Ndani,' (A Terror Within). Kwa hiyo siyo kazi rahisi hata kidogo kupambana nao na kuwashinda.
Kumbuka: Tawala karibia zote zilizopo ktk nchi za ki-Afrika zimefitinika vibaya sana beyond repair, kwa hiyo mambo kama hayo ya Boko Haram siyo kitu cha ajabu kutokea na kupata uungwaji mkono mkubwa kutoka kwa Wananchi, hususani wale ambao wamekuwa wahanga au wamekuwa wakidhulumiwa na tawala zilizopo.
 
Stock kubwa za masilaha, mavifaru, mibattery ya kudungulia midege, madege ghali ya kirusi na kimarekani but manpower very poor!

Boko wakiwa bunduki za rashasha Toyota Hiluxy pickup na yale mabendera yao myeusi tii wanawakimbiza mbaya simply kwao kufa na thwawabu kubwa! Siri iko hapo achana na brainwashed person ndugu!
 
Jifunze kwa kutazama hii
1710907556595.jpg
 
Intelijensia yao ni sifuri. Lakini sisi tupo vizuri, Wale wakuda wa kibiti unakumbuka walivyo zimwa chap, pia Kuna wale mabinti pale dodoma nao waligundulika kabla hawajaleta madhara. Mifano ipo mingi sana.
 
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Mkuu wadhani Boko haram ni kama sungusungu? Wale ni sawa na Taliban tu ambao US amepigana nao miaka nenda rudi hadi akasurrender.
 
you never know may be they ranking accordingly to numbers of soldiers or holding weapons.
 
Maafisa wengi wa jeshi nigeria ni waislamu boko haram ni vikundi vya waislamu
Kikawaida muislamu hawezi pigana na muislamu mwenzake
You are right, Boko Haram is an ideology even most of Nigerian politicians especially Muslims are royal members of Boko Haram.
 
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Hata Tanzania iliwahi kujiita ina jeshi bora Africa siku zile walipokwenda kuisaidia serikali iliyopinduliwa kwenye visiwa vya Comoro kama sijakosea
 
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Jeshi la Naigeria ni wanaigeria na Boko Haramu ni wanaigeria hii ni sawa na mapacha wawili wakipigana.
 
Waje Tanzania Sirro awafundishe jinsi ya kusambaratisha magaidi njaa. Wale waliosumbua Kibiti bado hawajasahau.
 
Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi

Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
wanajeshi wa ngazi za juu karibu wote wapo kwenye payroll ya boko haram {rushwa]
 
Jeshi la Nigeria ni kubwa kwa wingi wa silaha na wingi wa askari, lakini siyo jeshi sophisticated
 
Back
Top Bottom