Boko Haram ni matokeo au zao la 'Ndani kwa Ndani,' (A Terror Within). Kwa hiyo siyo kazi rahisi hata kidogo kupambana nao na kuwashinda.Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi
Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Mkuu wadhani Boko haram ni kama sungusungu? Wale ni sawa na Taliban tu ambao US amepigana nao miaka nenda rudi hadi akasurrender.Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi
Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Mbona kuko Sudan wanachinjana wenyewe Waislam kwa Waislam maana Wakristo walishajitenga na Sudan Kusini yao.Maafisa wengi wa jeshi nigeria ni waislamu boko haram ni vikundi vya waislamu
Kikawaida muislamu hawezi pigana na muislamu mwenzake
You are right, Boko Haram is an ideology even most of Nigerian politicians especially Muslims are royal members of Boko Haram.Maafisa wengi wa jeshi nigeria ni waislamu boko haram ni vikundi vya waislamu
Kikawaida muislamu hawezi pigana na muislamu mwenzake
Hata Tanzania iliwahi kujiita ina jeshi bora Africa siku zile walipokwenda kuisaidia serikali iliyopinduliwa kwenye visiwa vya Comoro kama sijakoseaNigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi
Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
Jeshi la Naigeria ni wanaigeria na Boko Haramu ni wanaigeria hii ni sawa na mapacha wawili wakipigana.Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi
Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?
wanajeshi wa ngazi za juu karibu wote wapo kwenye payroll ya boko haram {rushwa]Nigeria inasifiwa kuwa na Jeshi bora Afrika kuliko hata Tanzania mbona boko haramu wanashindwa kuwatokomeza? Hivyo vipimo vya ubora sivielewi
Wanatumia vigexo gani hadi Nigeria ionekane ina Jeshi bora kukiko Tanzania?