Nifanyeje uridhike CHARTY Mpenzi?

Nifanyeje uridhike CHARTY Mpenzi?

Raha penzi bana penda...pale unapopendwa...kiss me..I wl kiss u back....siyo wengine wanaleta mapenzii yakufikirika...bwahahaha I need a fresh shiiiit...yes I got it baby frm yah....!ua mine am urz ....lingine unalo????

Maneno yako kuntuuu.I wish u a happy and long life mumie charty
 
Last edited by a moderator:
Raha penzi bana penda...pale unapopendwa...kiss me..I wl kiss u back....siyo wengine wanaleta mapenzii yakufikirika...bwahahaha I need a fresh shiiiit...yes I got it baby frm yah....!ua mine am urz ....lingine unalo????

Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea mtu wa kufananisha na wewe amini. Elewa mimi ni wako sikuachi asilani charty mpenzi!
 
Last edited by a moderator:
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea mtu wa kufananisha na wewe amini. Elewa mimi ni wako sikuachi asilani charty mpenzi!

Aahww mahaba nlipue kama mabom ya nairobeee!!
 
Last edited by a moderator:
Napendekeza kwenye profiles tuandike wenzi wetu
kama vile Evelyn salt is in a relation with.....and....and....
make tunaparamia watu pm kumbe wana watu wao!!!
 
Aahww mahaba nlipue kama mabom ya nairobeee!!

Nimezunguka pande zote za Tanzania na dunia macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi nafsi yangu na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka nafsi yangu,nakupenda charty
 
Last edited by a moderator:
Cnt blv what????u left me alone...kutwa upo na kaziii...kila saa uko buzy!! Ungetegemea mie ku do nini???

Bt nilikuambia honey! Emergency niliyokuwa nayo! And you know that I love u so! There's no me without u! Please don't do this to me. Came back home.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom