Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
- Thread starter
- #41
Last edited by a moderator:
Ninani huyo anaingilia himaya yangu?
Ebu nidokeze Honey Faith
Mkuu shemeji yako lakini na nilishakutambulisha.
nasubiri majibu ya bibie lol
Umpe vyote hivyo kisa upewe pindigesi tu?
Duh...ata kwetu wenye shida wapo,asijifanye yeye ndo ana haki sana ya kuhudumiwa.
Only Stupid can handle this!
tumwambie Heaven on Earth atusaidie kukumbuka
Nshaupokea sema linginee!!
Kibo10 wa mie...kwanini siri za ndanii unaziweka hadharanii
tuliaga na wewe honey faith.....
Asante mpenzi wangu charty kwa kunipokea katika moyo wako
Nina kuaidi kukujali na kukulinda kama mboni ya jicho wewe ni kila kitu kwangu
Najuwa watajinyonga wengi na wangine watashindwa kula daku kama Rich Pol na aje hapa aone penzi la moto na matata
Shemeji yako Skype hakuamini na alijawa na hofu kubwa nilipoweka hisia zangu adharani naye aje hapa awe shuhuda!!!
Njoo huku utusaidie kumtaja Heaven on Earth
Raha penzi bana penda...pale unapopendwa...kiss me..I wl kiss u back....siyo wengine wanaleta mapenzii yakufikirika...bwahahaha I need a fresh shiiiit...yes I got it baby frm yah....!ua mine am urz ....lingine unalo????