Heaven on Earth yametoka moyoni!!hahaha nilijua wimbo nikajua mzee unataka kuingia studio
Heaven on Earth yametoka moyoni!!
We we we..! Honey Faith Rich Pol mwenyewe anajuwa hii inaitwa weka mbali na watoto!
Aliingia hapa kwenye uzi nikaona anamwita charty kinyonge kweli ashaelewa!
Hahaha my wii hutaki kuwa msuluhishi?
nakusanya news!! za kuweka front page...
nilikuwa naogopa tu tusije tukarudi kwenye mabishano eti, labda mwenyewe hajui but it seems anajuaUnaogopa kurudi wapi romantic eyes
afu charty ana mume wake na kauzi alianzishiwa jinale nimesahau
yaani we unahudumia bundle tu
afu charty ana mume wake na kauzi alianzishiwa jinale nimesahau