Nifanyeje uridhike CHARTY Mpenzi?

Nifanyeje uridhike CHARTY Mpenzi?

Bt nilikuambia honey! Emergency niliyokuwa nayo! And you know that I love u so! There's no me without u! Please don't do this to me. Came back home.

Nataka divorce!!nimechoka aisee kwa shida na raha imekua mwiba kwangu..kutwa unakesha na kombe la dunia??khaa utadhani una ubia na FIFa
 
Nataka divorce!!nimechoka aisee kwa shida na raha imekua mwiba kwangu..kutwa unakesha na kombe la dunia??khaa utadhani una ubia na FIFa

Swthrt I won't devorce you! I love u so, u mean the world to me, naomba upunguze maneno makari, u're hurting me! Unajua maumivu ya moyo hayapoi kwa panadol! Njoo ndani baby tuyaongee, achana na mchepuko honey, unathamani kubwa sana kwangu, usifanye hivyo my wife.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom