Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
Ninaowapata ni wa kwenye mitandao, wapo mbali hivyo tunaishia tu kuchatchat siku inaisha. Ninaowapata mtaani huwezi wafanyia promotion yoyote maana wanaonekana tu wapigaji.
Upweke nao unatesa, unatamani wikend hivi uwe na mtu wako akufanyie shoping, upike, mle mpige story ila hayupo.
Unajiuliza ulitolewa kwenye ubavu wa mbao nini? Mume wa mtu hana raha yoyote japo ni wawekezaji wa uhakika ni wewe tu at your own risk. Hebu kuweni wakweli ni jinsi gani ya kumpata anaekupenda au haina mjanja?