Ndio maana watu wenye watoto kuachana huwa ni kazi sana kila mtu hataki kukaa mbali na watoto wake matokeo yake watu wanagawana vyumba humo humo ndaniUkiondoka nao kitakuwa chanzo cha kuwasiliana, we beba nguo zako watoto muachie alee! Hata mm wife akisepa watoto hawezi kwenda nao lazima awaache
Mwanaume anayejielewa hawezi kukubali kuona watoto wake wanaenda kutangatanga na mama yao au wakalelewe na mwanaume mwenzaNdio maana watu wenye watoto kuachana huwa ni kazi sana kila mtu hataki kukaa mbali na watoto wake matokeo yake watu wanagawana vyumba humo humo ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa jaman mbwa wako unashindwa namna ya kumkamata kweli???Hii ndio point muhimu kwenye comment yako.
Sometimes nikupuuza tu na maisha yanaenda.
Anaingia nakuendelea namaisha.
Hapo utakuwa umeoa mwanamke au aina flani ya mwanamke! Eti ndivyo mlivyo adi mama ako! Duh neno zito sana hiloHata kama mzenguaji ni mwanamme inategemea na namna mwanamke alivyokabiliana na hilo kosa la mshkaji.
Umenishika na mpango wa kando, unaniambia "siwashangai ndivyo mlivyo kwenu nyote ni malaya, mpaka mama yako" hapo tegemea ishu kukugeukia bibie
Vijana matatizo sana hawa[emoji28][emoji28][emoji28] aisee
HahahahahahahahhahahaSina experience na mambo ya ndoa bro...!
Kabisa mkuu!
Haahahahahahah!
Wewe naweza nkakukubalia maana wewe nakujua aisee hahahaahahahahHa haaa hapana mkuu, siku kama hizo huwa zinakuwepo lkn sijawahi hama room, tunabanana humo humo tumenuniana hadi mmoja ajisalimishe. Kama amekosea yeye sijisalimishi yaani akikaa kimya na mie kama simjui vile
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo.Hapo utakuwa umeoa mwanamke au aina flani ya mwanamke! Eti ndivyo mlivyo adi mama ako! Duh neno zito sana hilo
Kweli kabisa maana kwenye Ugomvi anaweza kuitukana familia yenu yote..Kabisa mkuu!
Hapo hata kama mimi ndio nina kosa ujue umeyakanyaga
sawa yeye ndie mwenye kosa.....na ukaona adhabu yake ni kuhama chumba...sbb unajua anapenda dyudyu ukaona umkomoe.....wanawake kwanini mnafanya mambo ya kipuuzi hivi......jileweshe ulale uchi sebuleni.....hakika atakubeba.....ila ni bahati nasibu....wk 2 hujampa mzigo!!!! kuna mwenzio anakusaidia hakika....Chibudee,
Bt yeye ndie mwenye kosa ujue
Aliyekosea na ajishushe ati!Wewe naweza nkakukubalia maana wewe nakujua aisee hahahaahahahah
Hahahahahaahahahah
Avatar nzuriPole... Muombe msamaha yaishe.maana wewe ndo ulikosea kuhama chumba
We call it art of affiliationKweli kabisa maana kwenye Ugomvi anaweza kuitukana familia yenu yote..
Ikifikia huko mie mkosaji nalisahau kosa langu nakumbuka matusi niliyotukanwa
Sent using Jamii Forums mobile app