Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Muombe msamaha

mueleze ulikosea,

jilegeze na umuambie wewe si kitu bila yeye

Mwambie hujawahi pata tabu kama ulivyokuwa ukilala pekeako,

then mwambie kuna kitu umemuandalia leo muende chumbani.

Unajua cha kufanya hapo

NB:Huyo BAHARIA kakumiss pia ila anajikaza kiume ili aone kama mwanamke utajishusha?so ukisubiri kubembelezwa utakua mjinga namba moja.
 
Usipofuatwa ndiyo utajipeleka mwenyewe kuchinjwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni mumeo mwombe msamaha atakwelewa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta wageni waje walale kwenu, atakuhamishia chumbani mwenyewe
 
Ukifanikiwa kurudi chumban utatiwa vzr wew

Sent from my TECNO LC6 using Tapatalk
 
Hahahahahaahahhahahhahh

Mtie ujinga tu mwenzio wewe unalala nao daily na ukiamka upo nao karibu
Ha haaa hapana mkuu, siku kama hizo huwa zinakuwepo lkn sijawahi hama room, tunabanana humo humo tumenuniana hadi mmoja ajisalimishe. Kama amekosea yeye sijisalimishi yaani akikaa kimya na mie kama simjui vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv jaman itakua kweli haumii, hajanimis? au turn kauzu??? inamaana ikufika usiku hanimis kabisa???
 
Du!! hapa hata usingizi haupiti yeye nasikia anakula mziki tu hana wasiwasi
Kosa kubwa sana ulilolifanya ni kuhama chumban, jamaa ametafsiri km dharau na ulikuwa huenjoy kuwa naye chumba kimoja. Umechukua uamuzi wa kitoto. Subiri giza liingie then rudi,.muda wa kulala anza kuchezea mtalimbo muda unapigwa fimbo unamueleza ulihama kwasababu ya hasira tu, then yanaisha. Next time usirudie tena, pumbafff

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…