Nifanyeje nipunguze kupedwa?

Unamatatizo kweli kweli.
Yaani unalalamika sababu we mzuri badala ya kushukuru.

Pili hata uwe na sura chachu watu hawawezi kukwambia LIVE una sura mbaya.
Bali watakusifu tu . (kwa hiyo usijisikie saaaana mtu akikwambia "Kaka we ni mzuri")

Tatu punguza muda wako unaoutumia kwenye kioo. hiyo itakusaidia.
Heheheheh.... Na ukiona jinsia ya kiume inakaa sana kwenye kioo.... halafu eti inajisifia yenyewe ni "mzuri" ujue kuna tatizo flani la kijinsia.... Ushalijua Wonder Woman wangu?

Haya mwamkie babu.
 
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu

Uwe unajinyea na kujikojolea watajichenyewe
 
Panda bodaboda then mwambie aendeshe mwendokasi wa juu sana, then hawatakufuata tena ok ok....
 
vere oviazi

hiki kizazi sijui kama kitapona
afu kama matangazo hivi
kama 'mniPM jamani'

Heheheheh.... Na ukiona jinsia ya kiume inakaa sana kwenye kioo.... halafu eti inajisifia yenyewe ni "mzuri" ujue kuna tatizo flani la kijinsia.... Ushalijua Wonder Woman wangu?

Haya mwamkie babu.
 
Emu emu yuu siku hizi,
Bora wakati ule nilipojiunga!
Narudi zangu chit chat maana!!
 
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
hapo kwenye red, jaribu MAVI uone wonders..!!!
 
Next time mwanamke akikwambia anakupenda just tell her kua wewe ndio ulipost huu u.ji.nga
Contrast kati ya uzuri wa sura na kiwango cha akili itamkatisha tamaa instantly, you will be free.
Hahahahaaha
 
Ili wasikupende pendelea wasichokitaka kama kushikishwa uku..ta.Hapo mbona utakuwa nao mbali tu.
 
jamani kuna handsome fulani "anapedwa" sana na mamende huku uswahilini kwetu. Usije ukawa ndiyo wewe. Acha mchezo huo.
 
Heheheheh.... Na ukiona jinsia ya kiume inakaa sana kwenye kioo.... halafu eti inajisifia yenyewe ni "mzuri" ujue kuna tatizo flani la kijinsia.... Ushalijua Wonder Woman wangu?

Haya mwamkie babu.

Babu Shikamoo.

inatisha kwa kweli lohhh kesho atarudi hapa aseme "I think my ass is big"
 
hapendwi mtu hapo........kama huamini jiachie kidogo tu kwa mmoja .....watu wa namna hii huwa hawana uwezo wa kuactivate mahusiano maana wanishia kujiona wao ni hb......tokaaaaaaa
 
tuekee picha yako tuone kama kweli wewe ni "mrembo" kama unavyosema:eyebrows:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom