Nifanyeje nipunguze kupedwa?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
 
pole sana kwa balehe inayokusumbua,naamini ukishavunja ungo utaacha kuandika v2 kama hivi hapa jf.
 
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu
ingekuwa "kupendwa" ningesema acha wakupende lakini kumbe ni "kupedwa"(kama title ya thread inavyosema),ahaa hiyo kataa kabisa na ni aibu kwa kijana handsome "kupedwa". :poa
 
Jaribu kuwa seriaz na shughuli zako za kila siku na dhamiria kuonyesha misimamo ya kimaisha. Fanya kazi kwa bidii na kuwa mbunifu kwa mambo ambayo yanaweza kukusaidia ktk maisha yako badala ya kutumia muda mwingi kuangalia sura na kusifia uhandsome. Watu watakutafsiri vibaya mdogo wangu.
 
kuwa handsome kweli shida.napata shida sana na hata wakati mwingine siaminiki tena.Jamani nisaidieni niwaelezeje hawa wadada kuwa mie sitaki labda urafiki wakawaida tuuu.Natamani hata nijipake majivu ili kuificha sura yangu.I sometimes find some of them forcing to take my photo.
Jamani naombeni ushauri wenu

UNAJARIBU KUTUUZIA NINI? Kua mkweli kama unahitaji Mme!
 
rekebisha spelling za heading yako..il come bak..npo around
 
Wewe ni moja wa wale member ambao huwa mnaharibu hili jukwaa kwa kuleta upuuzi na ushuzi hap to the extent kwamba jukwaa sasa linaonekana ni la kitoto,nyambafu kabisa,siku nyingine uje na sound post like a great thinker.jirekebishe haraka sana kijana. FICHA UPUMBAVU WAKO USIFICHE HEKIMA YAKO.
 
msipo pedwa mnakimbilia kamati za ufundi mkipedwa mnasema vibaya mbona hurithiki kijana.kupedwa ni Bahati na bahati haiji mara mbili.
 
Ina maana we mkaka mdhuri ?
Mie kitambo nawatafuta wakaka wazuri sibahatiki !
Sasa jitahidi uniPM then unipatie No zako nikutumie kwanza kama laki mbili hivi , za matumizi madogomadogo, kama lotion, Marashi , Makarolite , Leso , Udi N.k
Na imani kwangu utakula Bata wa kusaza!
Kuna wenzio nimewanunulia viwanja .
Si unajua tena haya ni mambo ya maelewano.
 
Siku hizi mtu akisema kuwa ana wapenzi wengi watu humshangaa, maana madhara ya wapenzi wengi kila mtu mwenye akili timamu anayajua, pamoja na uwezekano wa magonjwa, lakini pia inakuwa vigumu kuweka akiba. Hupendwi wewe, inapendwa hiyo pesa yako kichele. Acha kuhonga uone kama kuna mtu atakupenda.
 
you are finished!

Kiuno chako kimekakamaa ukitembea?
Lips unapaka lip gloss?
Ndevu unazibust na wanja?
Nyusi umepalilia?
Una mapozi ya kineyo neyo?

Hapa patatoa mwangaza kidogo.

Hio kitu inanisumbua sana facebook mbk nime deactivate my account yani ni full shida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom