kwani dhaifu hawapati mtoto?
ok am soryHata kichaa huzaa.
So what's your point?
Mazoea hujenga tabia wewe uendelee kueka huo utaratibu mpya mbona atabadilika tukwa huyu huyu mke wangu hayo maigizo bado nitarudi na post hii sitapata jipya
hao wanawake ndo hutapeliwa vizuri ndo wanaishiwa kuchezewa na kuachwa
halafu mke anaringa ana mume ndani kumbe mtu anamuombea hata afeHyo tamaa yako itakupeleka wapi utamaliza mabucha yote nyama ni hyohyo mueshimu mkeo, mpende, usimdharau kweli mtu hajakukosea chochote unakuja kumfungulia thread sio vzr nyie ndo mnasababisha watu wanatoka kwenye ndoa sbbu ya tabia zenu au kama we muslim oa mke wa pili
Acha tu Miss kanisikitisha sana uyu mtu ndo mana mtu unacheat tokana na matendo ya mumeohalafu mke anaringa ana mume ndani kumbe mtu anamuombea hata afe
ok am sory
unakumbuka yule shost niliweka uzi kaniacha na watoto kaenda kugegedwa ? anadai ana miezi 2 hajasex na mumeweAcha tu Miss kanisikitisha sana uyu mtu ndo mana mtu unacheat tokana na matendo ya mumeo
hata nikioa 5 bado shida yangu ni kukosa uhuru. Moyo wangu utafurahia ku date na wanawake tofauti tofauti hata kama siyo ku sex nao hata kampani tu is enoughHyo tamaa yako itakupeleka wapi utamaliza mabucha yote nyama ni hyohyo mueshimu mkeo, mpende, usimdharau kweli mtu hajakukosea chochote unakuja kumfungulia thread sio vzr nyie ndo mnasababisha watu wanatoka kwenye ndoa sbbu ya tabia zenu au kama we muslim oa mke wa pili
The risks and chances of contacting HIV while a faithful hus/wife are smaller than if you are in multiple relations.ukimwi humpata yoyote hata kama uko na mmoja.
hata nikioa 5 bado shida yangu ni kukosa uhuru. Moyo wangu utafurahia ku date na wanawake tofauti tofauti hata kama siyo ku sex nao hata kampani tu is enough
hahahaha bora tukutane uzeeni Mungu akipendaHuu ndio utu uzima sasa.
Huku ndiko kukua sasa.
Hapa ndipo panapo anza na ukomavu.
Huu wakati ndio wa kutofautisha pumba na mchele, marafiki wema na wabaya, mema na mabaya.
Huu ndio wakati wa kua karibu na mkeo.
Huu ndio wakati wa mwanamume kuwa committed na familia yake (mkewe).
Huu ndio wakati wa wewe kuchanganua na kuona tofauti ya huba na mahaba.
Haupaswi kujuta mkuu,
Wala haupaswi kuomba ushauri hapa.
Ukisikia kila jambo na wakati wake, ndio kama hivi.
Huu pia ni wakati wa jambo hili kutimilika.
Nihayo tu kwa leo.
[emoji124] [emoji124]
ahahaa hana utamu tena jamani?ndo nimegundua mwanamke hata kama ni mzuri kiasi gani ukishaishi nae uzuri unabaki wa sura