sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Id el hajj wanajukwaa.
Baada ya salam, niende moja kwa moja kwenye mada kuwa nifanyeje nipendwe kama zamani maana naona kuoa imekuwa namna ya kukosa upendo kwa mke sababu ya mazoea, mademu wengi ukiwatongoza wanasema tunamwogopa mkeo japo siyo tishio, yaani hata uhuru wenyewe wa kutongoza sina nikiwaza hilo jibu, hata sound zimeshapotea!
Yaani love imepotea kama pesa za Magufuli mtaani. Au nitimue mke nirudi ujanani? No love at all. Kweli mke mmoja anadumaza akili! Kuna kipindi nikiwa wa umri fulani nilikuwa nashabikia sana ndoa za mkataba kama mwaka au miaka miwili, ila wakati wa kuoa hilo wazo sikulikumbuka naona linanirudia kwa kasi na kuona umuhimu wa ndoa za mkataba. Namiss ladha tofauti za mautamu toka kwa mademu tofauti. Mautamu simaanishi tu sex, i mean hata ule uhuru wa kuchat, jokes, kukutana sehemu na ku share hata stories. Hivi ndoa ni jela ee? Nafikiria kumkimbia mke ama nimtimue tukutane fainali uzeeni.