Nifanyeje niachane na wapenzi wangu?

Nifanyeje niachane na wapenzi wangu?

Nimekumbuka chuo kuna siku ghetto bwana walikutana wadada wa tatu....sasa kwa kukosa pozi nkajikuta nacheka huku nikiwaambia," ahhhh karibuni wake zangu". kilichotokea bwana wakaanza kuangaliana na misonyo juu. sasa mimi nikaita mshikaji wangu mmoja nikamtonya embu tufanye mambo waondoke. kweli walisepa sasa baada ya wiki mmoja akanipigia huku akiniambia,"wee bado upo na malaya zako". kilichofuata bwana ITV

Nilichojifunza ukiwakuna hawa wadada vizuri na shoo za russia lazima waje tu. mimi mpaka leo sitaki kumridhisha mwanamke kabisa
Nadhani hapo chini ndio Kuna point ya msingi Sana! Ukitaka Mwanamke aachane na wewe usimridhishe kwenye mapenzi ni lazima akukimbie!
 
Dawa hii hapa..............

Wape sumu ya Panya. Hawatakufuata fuata tena
 
Una hatari wewe!! ivi mda na nguvu ya wanawake watatu unaupata wapi?una ji stress bure, wambie kama ulikua unahonga basi usihonge tena, pili ukiwa nao jogoo hua hapandi mtungu watajipanga mmoja baada ya mwengine..
Huwezi pata stress unapopendwa mkuu!
 
Nadhani hapo chini ndio Kuna point ya msingi Sana! Ukitaka Mwanamke aachane na wewe usimridhishe kwenye mapenzi ni lazima akukimbie!

Usiwaridhishe kabisa bora dakika moja ushamaliza.... ukianza ukanjanja ndo hapo watakuganda kam chawa
 
Una hatari wewe!! ivi mda na nguvu ya wanawake watatu unaupata wapi?una ji stress bure, wambie kama ulikua unahonga basi usihonge tena, pili ukiwa nao jogoo hua hapandi mtungu watajipanga mmoja baada ya mwengine..

NIPENDEMIE, "jogoo" ni serikali inayojitegemea. Inaamua yenyewe wapi pa kusimama, na wapi pa kutulia.
 
Njia ya kiume ni kujipiga kitanzi tu maana hapo utawaacha kwa amani na wote wataridhika kabisa.

Fanya hivyo ndg yangu.
 
Afu unadhani uko peke yako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wao nao wana watatu watatu pembeni! Ukute kuna kitu wanafaidika ndo mana wamekuganda
[emoji10] [emoji10] watatu!!! Sidhani labda10 unawajua wadada wa mujini unawasikia wanazaidi ya 10 na wanafanya update zakufa mtu kwenye booking ndo usise

Kujiua ndio njia pekee rahisi hapo bila kuacha hisia za kuchezewa au kupotezewa muda.

Jinyonge mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom