Trial balance
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 202
- 159
Si ajabu yuko fomu wani unamuita msomiKiele ele!Hawa ndiyo wasomi tunaotarajia watoe mawazo mbadala ya kumng'oa Meko madarakani!
Jomoni Khantwe!Si ajabu yuko fomu wani unamuita msomi
Darasa linakaa kimya kwahiyo mwl umwach ajiongelesh peke yake nahisi watu ni uoga na aibu.Mimi napenda wanawake wenye viherehere aka vihechi.
Mwl anauliza swali watu wanakauka kama hawajui kitu ndo nini mi najibu tu ila nina mpango wa kuacha mana huu ujinga sasa.tukae tu kimya ajibu mwl mwenyewDarasa linakaa kimya kwaiy mwl umwach ajiongelesh peke ake nais watu ni uoga na aibu
Nasoma lakini katika kusoma kwangu nimezoea kujibu jibu maswali hadi inafika muda mwalimu ananiambia nipumzike lakini sio kusema kwamba wengine hawajui sijui kwao ni hofu kujibu au hawajisikii lakini sio kusema kwamba hawaelewi wanaelewa ila hawataki kuparticipate.
Sasa naona kama wananiona nina kiherehere kujiona naelewa sana, nina mpango wa kukauka class yaani nisiwe na jibu na mimi. Maana unajibu sana mtihani wanakupita kama so flani hivi ha ha ha.
HahahahaWewe ni kiherehere.umeshamuboa huyo ticha
Hahaha au sioHautakiwi kujibu mpaka ticha akupointi kabisa ndo ujibu,kunyoosha vidole mambo ya shule ya msingi
Tuendelee kucomment comment bado hazitoshi.Hahaha au sio
Karibuni sanaTuendelee kucomment comment bado hazitoshi.