Nifanyeje na hawa wenzangu? Ninajibu sana maswali naonekana nina kiherehere

Trial balance

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
202
159
Nasoma lakini katika kusoma kwangu nimezoea kujibu jibu maswali hadi inafika muda mwalimu ananiambia nipumzike lakini sio kusema kwamba wengine hawajui sijui kwao ni hofu kujibu au hawajisikii lakini sio kusema kwamba hawaelewi wanaelewa ila hawataki kuparticipate.

Sasa naona kama wananiona nina kiherehere kujiona naelewa sana, nina mpango wa kukauka class yaani nisiwe na jibu na mimi. Maana unajibu sana mtihani wanakupita kama so flani hivi hahaha.
 
Darasa linakaa kimya kwaiy mwl umwach ajiongelesh peke ake nais watu ni uoga na aibu
Mwl anauliza swali watu wanakauka kama hawajui kitu ndo nini mi najibu tu ila nina mpango wa kuacha mana huu ujinga sasa.tukae tu kimya ajibu mwl mwenyew
 
We hujui bali ni mjuaji na ndo maana huenda unachukiwa na mwalim, wanafunzi wenzio na wachangiaji hapa jukwaani. Unajibu maswali gani kama hata kuandika hujui?
 
Hautakiwi kujibu mpaka ticha akupointi kabisa ndo ujibu,kunyoosha vidole mambo ya shule ya msingi
Nasoma lakini katika kusoma kwangu nimezoea kujibu jibu maswali hadi inafika muda mwalimu ananiambia nipumzike lakini sio kusema kwamba wengine hawajui sijui kwao ni hofu kujibu au hawajisikii lakini sio kusema kwamba hawaelewi wanaelewa ila hawataki kuparticipate.

Sasa naona kama wananiona nina kiherehere kujiona naelewa sana, nina mpango wa kukauka class yaani nisiwe na jibu na mimi. Maana unajibu sana mtihani wanakupita kama so flani hivi ha ha ha.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom