Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
- Thread starter
- #21
[emoji120][emoji120][emoji120]Pole sana
[emoji120][emoji120][emoji120]Pole sana
Asaante,,, najitahidi kuilazmsha furaha ingawaje akili yang ngumu kupokea furaha ikiwa moyo unavuja masononekoPole sana lakini nina imani mwisho wa hayo yote unakaribia, usiwaze sana, jipe muda wa kuenjoy hata kwa kufosi.
Nitalifanyia kaz mkuu [emoji120][emoji120]Fanya mazoezi hautajuta mawazo yatapungua utafikiri namna ya kutoboa na utalala bila kujitambua
Uchumi umenichumu sana kiasi kwamba ata hyo hela ya kugongea ni kipengele.Kama ni ME tafuta KE piga bao 3 tu lazima ulale doro kabisa.
Ukishindwa kulala baada ya mbinu hiyo wewe sio mtu ni kibwengo.
Tafakari ndugu yanguAhsaante sn
Ukiwa na stress hamu za mapenzi zinakuwaga?Kama ni ME tafuta KE piga bao 3 tu lazima ulale doro kabisa.
Ukishindwa kulala baada ya mbinu hiyo wewe sio mtu ni kibwengo.
Nshapoa bwashee...Pole sana...