Nifanyeje ili niweze kupata taarifa zangu Google?

Naomba anaefahamu jinsi ya kujisajili mtandaoni kama Google search engine ili mtu anapo andika jina langu kwenye uwanja wa kutafutia awe ananipata na maelezo yangu na picha zangu. MF. Kama uandikavyo Reginald Mengi na kupatiwa maelezo yake bila ya mtu mwingine.
naitaji kusi saidia
 
Huyu ndugu anataka kuonekana kwenye wikipedia ili mtu akisearçh kwa kutumia google atokee kama watu maarufu kulia mwa search results. Search kwenye google namna ya kusaniliwa wikipedia. Angàlizo, lazima uwe na umaarufu culani kama msanii mkubwa, mfanyabiashara mkubwa, guru etc
 
nikweli mzeee
 
Naomba anaefahamu jinsi ya kujisajili mtandaoni kama Google search engine ili mtu anapo andika jina langu kwenye uwanja wa kutafutia awe ananipata na maelezo yangu na picha zangu. MF. Kama uandikavyo Reginald Mengi na kupatiwa maelezo yake bila ya mtu mwingine.
Usihangaike njoo tukutengenezee website itayokutambulisha google wewe na biashare yako. 350,000 TZS(One year free hosting) kabla ya mwaka hajaisha
 
Aisee humu jf kuna watu wanajua mambo mengi so ukitaka ushauri wanakupatia ushauri mzuri sana. Wanatoa ushauri mzuri wa kukusaidia hata kwa mambo ambayo unaweza kuhisi hayawezekani.... Ngoja nami nitimize haja zangu kwa kuomba ushauri.

Wakuu naombeni ushauri, natumaini mtanishauri na nitafanikiwa.

Wakuu nitafanyeje niweze kuwa rais wa Tanzania na niingie ikulu mwaka huu huu, ningependelea mnishauri niweze kuingia ikulu kabla ya 2018.
 
Back
Top Bottom