Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
Naomba anaefahamu jinsi ya kujisajili mtandaoni kama Google search engine ili mtu anapo andika jina langu kwenye uwanja wa kutafutia awe ananipata na maelezo yangu na picha zangu. MF. Kama uandikavyo Reginald Mengi na kupatiwa maelezo yake bila ya mtu mwingine.