X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,344
- 14,120
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza nina kiwanja hapa Dar es salaam ila kiwanja hiko kipo katika eneo ambalo kuna makazi lakini maeneo hayo hayajapimwa.
Kiwanja changu kimezungukwa na nyumba/makazi ya watu wengine mimi tuu ndio sijaweka kibanda.
Je ni hatua gani nifuate ili nipate hati miliki ya eneo hilo ili niweze kupata huduma nyingine kama mikopo....zaidi ya hati za mauziano sina kielelezo chochote kingine juu ya hicho kiwanja.
Wataalam naombeni ujuzi hapo