Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 21,380
- 56,035
Vijana Wana tabia za hovyo tu. Sioni faida yoyote kwa vitu ambavyo havina uhalisia kuviandika hadharani, halafu sio ukweli ni uongo sasaMarhabaa mdogo wangu,uko salama?....Sasa ndio kujipromote Gani huko Kwa Zinaa?