Unawezaje kuacha tabia ya kununua malaya for sex?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Hii tabia nilianza mwaka 2007 nikiwa Form Four nikiwa nina miaka 17 ilikuwa ni pale Manzese Uwanja wa fisi kipindi kile elfu moja tuu bao moja nilipoanza kununua papuchi

Hii tabia nimendelea nayo hadi saivi nina miaka 34 bado yale maeneo bado naenda na tabia ya kununua malaya nimekuwa too clonic yaani inafika hatua haipiti week lazima nigonge njee licha ya kuwa na mpenzi

Nifanyeje ili hii tabia niweze kuiachaa. Ya kupenda kununua malaya maana nikipata hela kidogo Basi natafuta demu wa njee
 
.
IMG_20210311_125802.jpg
 
Mbona hata wewe umekuwa wa kwanza kuchangia mkuu? Hama sasa hivi 🤣 🤣 🤣 🤣
Baharia upo? Chama chenu kimepoa sana hizi siku za karibuni! Tatizo nini? Hakuna kabisa stori za machimbo mapya, mbuga mpya za kuwindia swala! nk!!
 
Baharia upo? Chama chenu kimepoa sana hizi siku za karibuni! Tatizo nini? Hakuna kabisa stori za machimbo mapya, mbuga mpya za kuwindia swala! nk!!
Weweeeee! Mkuu umenikumbusha jambo la muhimu sana ngoja nitembelee huko. 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom