mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
usifanye hayo anayokushauei ngabu yaweza kuharibu zaidi iwe muwazi kidooogo!usimfiche chochote. Usimkataze kujibu simu zako ua kutumia simu yako. Hata email unaweza kumpa password. Usiwe na urafiki na watu wa jinsia tofauti.
Yaani kwa kifupi, usifanye chochote kitakachomfanya asikuamini na uwe mwaminifu kikwelikweli. Ni hivyo tu.
usifanye hayo anayokushauei ngabu yaweza kuharibu zaidi iwe muwazi kidooogo!
Usimfiche chochote. Usimkataze kujibu simu zako ua kutumia simu yako. Hata email unaweza kumpa password. Usiwe na urafiki na watu wa jinsia tofauti.
Yaani kwa kifupi, usifanye chochote kitakachomfanya asikuamini na uwe mwaminifu kikwelikweli. Ni hivyo tu.
eeh wewe ni Nyani Ngabu kweli..duh yaani usimfiche chochote kabisa..apokee simu zote hata za kikazi..lol.
Usihangaike kutafuta kuaminiwa, bali kuwa mwaminifu......!wana jamvi naomba msaada wenu niweze kufanikiwa katika hili linalonisumbua akilini na nadhani wengi pia ni gumu kwao,nifanyeje lipi basi nijenge uaminifu wa hali ya juu sana kwa mpenzi wangu,yani aniamini kama vile ninavyomwamini.kuna siri gani hapa ya namna ya kumfanya mpenzi wako akuamini kwa kiwango cha juu kinachoridhisha.kuna maeneo kadhaa ya muhimu sana
1.kwenye mapato na pesa
2.aamini kwamba mimi ni wake pekee,sina mwingine
waweza ongeza vingine ujuavyo kisha ukatoa ushauri.
Nyani Ngabu;Usimfiche chochote. Usimkataze kujibu simu zako ua kutumia simu yako. Hata email unaweza kumpa password. Usiwe na urafiki na watu wa jinsia tofauti.
Yaani kwa kifupi, usifanye chochote kitakachomfanya asikuamini na uwe mwaminifu kikwelikweli. Ni hivyo tu.
Mimi sielewi ni kwa nini mtu unayemfunulia uchi wako umfiche au umkataze kuangalia baadhi ya vitu. Sioni kabisa mantiki yake!!!