nifanyeje ili aniamini kwa kiwango cha juu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nifanyeje ili aniamini kwa kiwango cha juu?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mutisya mutambu, Nov 22, 2010.

 1. mutisya mutambu

  mutisya mutambu Senior Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  wana jamvi naomba msaada wenu niweze kufanikiwa katika hili linalonisumbua akilini na nadhani wengi pia ni gumu kwao,nifanyeje lipi basi nijenge uaminifu wa hali ya juu sana kwa mpenzi wangu,yani aniamini kama vile ninavyomwamini.kuna siri gani hapa ya namna ya kumfanya mpenzi wako akuamini kwa kiwango cha juu kinachoridhisha.kuna maeneo kadhaa ya muhimu sana
  1.kwenye mapato na pesa
  2.aamini kwamba mimi ni wake pekee,sina mwingine
  waweza ongeza vingine ujuavyo kisha ukatoa ushauri.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Usimfiche chochote. Usimkataze kujibu simu zako ua kutumia simu yako. Hata email unaweza kumpa password. Usiwe na urafiki na watu wa jinsia tofauti.

  Yaani kwa kifupi, usifanye chochote kitakachomfanya asikuamini na uwe mwaminifu kikwelikweli. Ni hivyo tu.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  usifanye hayo anayokushauei ngabu yaweza kuharibu zaidi iwe muwazi kidooogo!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Nov 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Yataharibu tu endapo utakuwa unafanya yale ambayo hutakiwi kufanya. Na kama hufanyi lolote baya basi hutakuwa na sababu ya kumficha mwenza wako chochote.
   
 5. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mi nadhani ni wivu tu wa kimapenzi.
  Na mtu akikuonea wivu jua kuwa anakupenda huyo.
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  eeh wewe ni Nyani Ngabu kweli..duh yaani usimfiche chochote kabisa..apokee simu zote hata za kikazi..lol.
   
 7. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  usisemee mioyo ya watu wengine kuna watu hata uwaonyeshe kila kitu bado mashaka na wewe hayaishi anatumia historia lake kupeleka yaliyopo sasa unaweza ukaweka mpaka screen ukiwa unatembea akuone ukijikwaa tu swali mbona hukupita njia nyingine mpaka umejikwaa live your life utakuwa na furaha na amani siku zote
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Nov 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kwa nini asipokee? Halafu nyinyi ni kazi gani hizo ambazo mnapigiwa simu kwenye simu ya matumizi binafsi? Kwani huko makazini kwenu hamna simu?

  Na sababu hasa ya kumficha hata hicho kidogo ni ipi hasa? Maana uchi wako haumfichi....
   
 9. N

  Ngo JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2010
  Joined: May 25, 2010
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nyani Ngabu;Usimfiche chochote. Usimkataze kujibu simu zako ua kutumia simu yako. Hata email unaweza kumpa password. Usiwe na urafiki na watu wa jinsia tofauti.

  Yaani kwa kifupi, usifanye chochote kitakachomfanya asikuamini na uwe mwaminifu kikwelikweli. Ni hivyo tu.[/QUOTE]

  Na hapa wengi ndo wanaishia kulalama kila siku kwenye ndoa zao. Uaminifu unajengwa na jinsi wanandoa mnavyowasiliana. Kama kila mtu anakuwa na chake ndo hapo mwanzo wa tatizo. Watu wanaishia kusema simu zao ni zakwao haiitaji ku-share au kuangalia simu ya mwenzi wako. Kama mtu ni mkeo/mumeo na Unampenda kwa nini mfichane? Kama mmoja akingundua kuna kitu hukumweleza na ameking'amua ndo hapo trust level inaanza kushuka.

  Nimesoma kwenye post moja hapa mwanamama analalama mumewe anafunga kabati lake anashangaa kwa nini? Nikajiuliza mume anakuwa na kabati na ufunguo wake ambao mke hatakiwi kuona kilichomo ndani yake, sasa huyo ni mke unayempenda au ni mke mtu anakuwa anaishi naye tu miaka inaenda?.

  Trust ni nzuri sana kwa wanandoa/mahusiano. Na mkiwa na trust miongoni mwenu maisha ni raha sana maana unajifikilia zaidi ya mara tatu Kumtendea kinyume mwenzi wako. Hivyo hata mambo ya kutoka nje yanapungua kwa kiasi kikubwa. Email zangu anasoma maana ana password, Simu yangu ni ya mke wangu na yake ni yangu, Hata kama ni simu ya biashara/kazini imepigwa kuna kosa gani mke wangu kuijibu? Kazi ipi ambayo mke wangu hatakiwi kuijuwa?

  Watu wataishia kulalama kila mara kwenye mahusiano kwa sababu ya neno moja tu ''Trust'' ambalo ni muhimili wa Ndoa yenye furaha na Amani.
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Nov 22, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Mimi sielewi ni kwa nini mtu unayemfunulia uchi wako umfiche au umkataze kuangalia baadhi ya vitu. Sioni kabisa mantiki yake!!!
   
 11. mutisya mutambu

  mutisya mutambu Senior Member

  #11
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 165
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  ndugu zangu naona tumehama kabisa kutoka kwenye mstari tuliocholewa na sasa tunachora wa kwetu.kikubwa ni kutaka kujua ni namna gani nifanye mpenzi wangu aniamini tena kwa kiasi cha juu,uaminifu wa ukweli na si ule wa kinafiki,wa leo afu kesho haupo.hapa basi ningependa tuzifahamu baadhi ya njia na namna hizo ambazo zaweza saidia kumfanya mtu yoyote akuamini tena sana kwa kiwango cha juu,nasema mtu yoyote si lazima awe mpenzi wako kwani uaminifu ni muhimu kwa kila mtu na si katika mapenzi tu
  1.onesha kumuelewa mtu huyo,understand the individual
  2.shiriki katika mambo yake hasa yale yaonekanayo kuwa madogomadogo
  na si muhimu sana,attending to the little things
  3.tunza ahadi,keep commitments
  4.itikia matarajio yake aliyonayo kwako,usisubiri akweleze anatarajia
  nini,ndipo ufanye,clarifying expectations
  5.onesha heshimu,mheshimu kwa hali ya juu,mpe
  thamani yake aliyonayo hata zaidi ya
  hapo,showing personal intergrity
  6.kuomba msamaha pindi unapokosea au unaposhindwa kutimiza
  ahadi uliyokuwa umeweka,kwa jambo lolote lile dogo hata kubwa
  apologizing sincerely.

  nadhani mpaka hapa tupo pamoja,nina hakika asilimia zote uta
  kapo tumia na kutimiza njia hizi mambo yatakuwa sadi sana
  utayafurahia maisha wewe na mpenzi
  wako pamoja na wote wakuzungukao.

   
 12. N

  Nasra82 Member

  #12
  Nov 23, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwe mkweli na uwe makini kwa kila unalomwambia, ukiulizwa upo wapi taja exactly sehem uliyopo, sio upo salender unasema palm beach au upo magomeni unasema mwenge labda anakuuliza hivo kwa vile amekuona na yeye yupo maeneo hayo utaposema uwongo basi hapo hautoeleweka ata ukisema ukweli wa jambo lolote
   
 13. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #13
  Nov 23, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  i guess u have to strip off every thing......
  if that is not good enough then your partner has a problem..
   
 14. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #14
  Nov 23, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Usihangaike kutafuta kuaminiwa, bali kuwa mwaminifu......!
   
 15. Zneba

  Zneba Senior Member

  #15
  Nov 23, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Na hapa wengi ndo wanaishia kulalama kila siku kwenye ndoa zao. Uaminifu unajengwa na jinsi wanandoa mnavyowasiliana. Kama kila mtu anakuwa na chake ndo hapo mwanzo wa tatizo. Watu wanaishia kusema simu zao ni zakwao haiitaji ku-share au kuangalia simu ya mwenzi wako. Kama mtu ni mkeo/mumeo na Unampenda kwa nini mfichane? Kama mmoja akingundua kuna kitu hukumweleza na ameking'amua ndo hapo trust level inaanza kushuka.

  Nimesoma kwenye post moja hapa mwanamama analalama mumewe anafunga kabati lake anashangaa kwa nini? Nikajiuliza mume anakuwa na kabati na ufunguo wake ambao mke hatakiwi kuona kilichomo ndani yake, sasa huyo ni mke unayempenda au ni mke mtu anakuwa anaishi naye tu miaka inaenda?.

  Trust ni nzuri sana kwa wanandoa/mahusiano. Na mkiwa na trust miongoni mwenu maisha ni raha sana maana unajifikilia zaidi ya mara tatu Kumtendea kinyume mwenzi wako. Hivyo hata mambo ya kutoka nje yanapungua kwa kiasi kikubwa. Email zangu anasoma maana ana password, Simu yangu ni ya mke wangu na yake ni yangu, Hata kama ni simu ya biashara/kazini imepigwa kuna kosa gani mke wangu kuijibu? Kazi ipi ambayo mke wangu hatakiwi kuijuwa?

  Watu wataishia kulalama kila mara kwenye mahusiano kwa sababu ya neno moja tu ''Trust'' ambalo ni muhimili wa Ndoa yenye furaha na Amani.[/QUOTE]
  upo juu vibaya,yani ulosema ni kweli kabisa mtu ana madudu yake anafanya saa ngapi attakuwa huru na vitu vyake lazima afiche fiche tu na ndo yanayoleta ugomvi halafu kitu kingine mkishaaminiana vya kutosha wala hutaona mtu anakufatafata nyuma hata ukimuaga unaenda mahali gani na ukarudi kwa muda gani hawezi kuwa na wasiwasi na ww na hayo ndo mapenzi ya kweli jamani NGO UMESEMA UKWELI MTUPU
   
 16. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #16
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mdanganye
   
 17. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #17
  Nov 23, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Mkuu una point hapa, sijui kwa nini invisible kakupiga ban!!
   
Loading...