mutisya mutambu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2010
- 208
- 82
wana jamvi naomba msaada wenu niweze kufanikiwa katika hili linalonisumbua akilini na nadhani wengi pia ni gumu kwao,nifanyeje lipi basi nijenge uaminifu wa hali ya juu sana kwa mpenzi wangu,yani aniamini kama vile ninavyomwamini.kuna siri gani hapa ya namna ya kumfanya mpenzi wako akuamini kwa kiwango cha juu kinachoridhisha.kuna maeneo kadhaa ya muhimu sana
1.kwenye mapato na pesa
2.aamini kwamba mimi ni wake pekee,sina mwingine
waweza ongeza vingine ujuavyo kisha ukatoa ushauri.
1.kwenye mapato na pesa
2.aamini kwamba mimi ni wake pekee,sina mwingine
waweza ongeza vingine ujuavyo kisha ukatoa ushauri.