Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Habari zenu waungwana,
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off
- Fanya maandalizi ya mtoko ambao hukuwahi kumfanyia hapo nyuma -
Huaenda akiwa katika mazingira tofauti atakuwa tayari kukueleza
anapendelea nini au anapendelea kufanywa nini.
nikimwambia maswala hayo huwa hataki kutoka kabisa mpaka huwa natoka peke yangu kama jini.Nalog off
Tafuta chanzo bwana usimwache mwezio kisa bado hujaelewa atakani,utakua unakimbia matatizo
sikunyingine usitoke peke yako! Ni marufuku kuspend pesa mwenyewe... Sawa???
Habari zenu waungwana,
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off
Habari zenu waungwana,
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off
mmwagie tindikali akomehabari zenu waungwana,
ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off
log off mkuuHabari zenu waungwana,
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off
Habari zenu waungwana,
Ni hivi huyu mwanamke kila ninachokitaka mimi yeye hakitaki na wala yeye hataki kuniambia anapendelea nini na anapendelea kufanywa nini? Nikimwambia basi kila mtu aangalie hamsini zake hataki nimfanyeje huyu mwanamke?
Nalog off
we ulikuwa wapi? hili bonge la wazo ngoja niwahi kununua tindikali kabla haijaanza kuwa dili.Kwa bongo ya sasa hii ya amani, tindikali tu inamtosha.
niko ndani ya nyumba.Na logoff umerudi kitaa?
bado hajaanza kumiliki simu,vipi sanduku la posta litakufaa?Nipe namba zake za simu tafazali.
Na log off