Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,347
- 77,153
Najua hujui, hebu soma nilichoandika.Mkuu hata kinachoninyima amani sijui ni kipi na hii inanipa mawazo zaidi
Mimi sijasema unajua kinachokutatiza. Ila nimesema mtu anahitaji kujua maisha yako ya nyuma au malezi kabla hajakupa ushauri