Nifanye nini niwe na furaha?

Nifanye nini niwe na furaha?

Mkabidhi Yesu maisha yako ili awe ni Bwana na Mwokozi wa maisha yako. Nawe utapata raha nafsini mwako.

JESUS IS LORD
 
Ridhika na hali yako, jipende na ukiweza saidia wasiojiweza bila ya kutegemea chochote cha kulipwa.
 
Uza Mali zako na uwagawie maskini na kwenye uhitaji.Hakika utapata furaha na amani moyoni mwako.
 
Watu wanafikiri furaha inatoka kwa vitu, Furaha iko ndani yako wewe mwenyewe hata kama ungepewa wanawake wazuri kama Cleopatra wa Misri wakati ule, Huwezi kuwa na furaha kwa sababu furaha ni mchakato ambao hautokei tu.
Kwanini hakupi raha?
 
Zitakuja story za introverts na extroverts sasa hivi. Wakati mchizi ana temporary problem tu.
 
Watu wanafikiri furaha inatoka kwa vitu, Furaha iko ndani yako wewe mwenyewe hata kama ungepewa wanawake wazuri kama Cleopatra wa Misri wakati ule, Huwezi kuwa na furaha kwa sababu furaha ni mchakato ambao hautokei tu.
Usinifokee!
 
Habari wana jukwaa,

Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.

Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.

Nawasilisha.
Ukiwa mwanachama wa CHAPUTA huwezi kuwa na furaha, maana kila ukimaliza kufungisha lazima ujilaumu, halafu furaha inatoweka.

Nadhani ushajua cha kufanya.
 
Habari wana jukwaa,

Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.

Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.

Nawasilisha.
Unahitaji counselling. Nitafute
 
Soma vitabu, kaa ufukweni, sikiliza sauti za asili mfano ndege, wadudu kama vyura sauti za maporomoko ya maji. Itakufanya moyo ufunguke sana
Habari wana jukwaa,

Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.

Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.

Nawasilisha.
 
Sisi wakazi wa kigamboni tuna furaha tangu jana, njoo tuserebuke!!
 
Habari wana jukwaa,

Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.

Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.

Nawasilisha.
Duu Mimi nipo Kama wewe sijiamini Nina uoga wa maisha lakini nikila vyombo nakua amani mawazo mazuri ya maisha yanaanza kuja lakini nikamka kesho Yale Yale Tena Yana jirudia nakipato Cha kunywa kilasiku sina
 
Back
Top Bottom