Nifanye nini niwe na furaha?

Nifanye nini niwe na furaha?

Furaha ni rahisi sana kuipata kama huna majukumu ,I mean huna familia,ka unafamilia kukosa furaha ni sehemu ya maisha yako,
 
Mimi sina furaha Nina kamradi nilikaanzisha dar ghafla serikali imehamia dodoma sijui itakuaje
 
Hahahhahah
Id yako iko opposite na jinsi ulivo , maana kwa kabila letu Msangarufu ni mtu aliyechangamka, yaani mwenye furaha...

Ushauri wangu; Penda kufanya kitu unachokipenda mfano, kucheza mpira, kuangalia muvi, kuogelea, kuimba nk..na usipende kukaa peke ako muda mwingi, Jichanganye kitaa na wana...mi nakosaga furaha pale tu mama mwenye nyumba ananipigia nimlipe kodi yake...😀😀😀
 
Back
Top Bottom