Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Acha ubishi umeeleza tatizo na sisi kama wataalamu tumekupa dawa!Hii haiwezekani
Acha ubishi umeeleza tatizo na sisi kama wataalamu tumekupa dawa!Hii haiwezekani
Waone wanasaikolojiaNashindwa kufanya hivyo
Utakuwa unakabiliwa na ugonjwa wa Depression.. Most likely umesababishwa na kisukari.. Kapime kisukari... Hakikisha pia angalau mlo wako mmoja unahusisha mlo wa viazi (chips). Pia hakikisha kila siku unameza vidonge viwili vya Vitamin B complex.. Maziwa fresh pia muhimu.Habari wana jukwaa,
Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.
Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.
Nawasilisha.
Huyo mwanamke wa kufanya nae hivyo sina pia muda wa kufanya hivyo haupoAcha ubishi umeeleza tatizo na sisi kama wataalamu tumekupa dawa!
Kuwa specific ni kwamba huna muda ama huna mwanamke?Huyo mwanamke wa kufanya nae hivyo sina pia muda wa kufanya hivyo haupo
U become what you think about...
U have to think and focus about happyness all the time and not else.
Pia jitahidi kufanya meditation baada ya kuamka na kabla ya kulala....tenga muda walau ata dk 3 wa Hilo zoezi,ukiwa sehemu tulivu.
Nina uhakika baada ya mwezi mmoja utaona matokeo mazuri.
Hahaha mwanamke ninayeKuwa specific ni kwamba huna muda ama huna mwanamke?
Kwanini hakupi raha?Hahaha mwanamke ninaye
Nafahamu sana kwamba shetani hutumia njia nyingi kumweka mtu kwenye matatizo ili apate kumteka na kumtumia katika ufalme wake. Najua pia kuna mambo ya kijamii na kisaikolojia yanayoweza kumweka mtu pabaya akakosa raha kabisa. Kwanza ni vizuri kujua umri wako. Kati ya miaka 12-24 ni kawaida kwa watu hawa kukosa raha kwa vipindi vifupi hadi virefu. Ni kipindi kigumu cha mtu kutafuta identity yake na kila mtu anapitia hapa kwa namna tofauti. Pia kuna tatizo la kujikubali kwa watu wengi, basi jikubali jinsi ulivyo mfupi, mrefu, mzuri, mbaya, mwerevu, mjinga bado una thamani kubwa na unaweza kufanya mazuri katika jamii na kufurahia maisha yako. Mwisho nikuambie jambo moja ninaloamini sana na kufanya kila siku: sali kwa Yesu Kristo ukimweleza tatizo hilo bila kupindisha utaona matokeo.Habari wana jukwaa,
Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.
Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.
Nawasilisha.
Habari wana jukwaa,
Moja kwa moja kwenye hoja. Kwa siku za karibuni naona nazidi kupoteza amani na furaha bila sababu. Na sina majukumu yoyote ya kutegemewa wala mawazo yoyote sijui tatizo nini.
Wajuvi wa mambo, naombeni ushauri wa kunitoa kwenye hii shida niwe na furaha na amani.
Nawasilisha.
U become what you think about...
U have to think and focus about happyness all the time and not else.
Pia jitahidi kufanya meditation baada ya kuamka na kabla ya kulala....tenga muda walau ata dk 3 wa Hilo zoezi,ukiwa sehemu tulivu.
Nina uhakika baada ya mwezi mmoja utaona matokeo mazuri.
Mkuu hata kinachoninyima amani sijui ni kipi na hii inanipa mawazo zaidiNajua tunatakiwa kudeal na past ili kushughulikia na situation uliyopo saa hii.
Bila hivyo kila aliyeandika hapa ni ameandika experience yake, siyo yako.
Which is to say hawajakupa dawa bado.
A past can haunt you same kama malezi tu. These two hukaa hidden in our subconscious mind and then one day they just snap and here they are yanaanza haunting.
So naamini kwa mtu kua na cha kuongea atahitaji ujielezee, simply saying 'Sina furaha' haitadeal na mzizi.
Notice pia simaanishi lazima uwe na tatizo.
Naam...mbona unashangaa bibie?Meditation🙄