Umempaste kutoka wapi?Hamjambo?
Mwaka 2011 na 2012 nilikuwa naishi maeneo ya mgodi tz hii hii. Sa tukawa tunaenda kuokota yale wawe yanayomwagwa sehemu na unakuta yana dhahabu hata ya kuuza had m30.
Sku moja tukaenda tukiwa squad ya mtu 3 nikapata jiwe sa kwa kuwa nilikuwa mgeni ikabid niwashirikishe wale wenyeji wawili. Tukaenda tukalitunza kwa mmoja wao ili asubuhi tuuze lakini baada ya mimi kuondoka wakaita mteja usiku huo huo na wakaliuza m15. Asubuhi nakutana na m1 wakisema waliuza m3. Nikasema poa nikaenda zangu lakin moyoni ni siri yangu. After hapo mmoja akamwambia mwenzake waende mwanza kununua pkpk mpya na kweli wakaenda wakanunua wakaja nazo. Siku ya pilg mmoja akaanguka na hiyo pkpk akafa ku hadi wa leo ni r.i.p. Tukishughulika na msiba mwenzake anakuja msibani akaanguka yeye meno yote 12 hana hadi wale kawa kibogoyo kama sio kibo gold. Sasa mzee mmoja akamwita huyo alobaki akamuuliza kama kuna mtu wamezulumu jiwe waseme mapema wasaidike lakini jamaa akakataa kata kata. Bahati nzuri mungu saidia ==> kwa coment...
Kwa hiyo simulizi imeisha au itaendelea?mzee mmoja akamwita huyo alobaki akamuuliza kama kuna mtu wamezulumu jiwe waseme mapema wasaidike lakini jamaa akakataa kata kata. Bahati nzuri mungu saidia ==> kwa coment...
angalia kwenye coment pleaseKwa hiyo simulizi imeisha au itaendelea?
Msamehe 😔 🥹Bahati nzuri mungu saidia nikaenda mlimali nikapata nikauza m12 nikahama hiyo sehemu jumla. Sasa kuna rafik yangu ambaye alikuwa katibu wa mwenyekiti nikampa kama posho ya m1 after kuwa ameleta mteja. Na hadi waleo ni rafik yangu na ndio kanambia kinachoendelea huko.
Huyo alobaki na meno 20 mdomoni anaomba niende nimpe msamaha after **** anaisha na familia yake karibia inaisha coz mtoto wake wa kwanza alianguka na hyo pkpk nae akawa r.i.p. Mke wake nae after kuona hayo akatoroka kwa kuogopa kuwa jamaa kaiangia kwa waganga ndio wanamaliza familia yake. Sasa jamaa yupo kachanganyikiwa na familia kwa kupitia huyo rafiki yangu katibu wananihitaji niende kumtolea msamaha coz wameenda kila sehemu kuanzia kwa waganga, mapastor, mashehe, hawa wanantembea na misalaba na mishumaa jibu ni moja tu. ATI MTAFUTE MLIYEMDHULUMU MIAKA HIYO MUMUOMBE MSAMAHA. Swaili ni nifanyeje hapo bandugu. Pale ambapo hujaelewa uliza ntakujibu.
my dear sipaste from anywhere simu ndo maneno 1024 nimeimalizia kwene coment plzUmempaste kutoka wapi?
wameenda sehemu nying wanaambiwa ni dhuluma na mganga au mchungaji wanayeenda hanijui lakini anawapa hilo jibu na kwa kweli walipofanya hivyo nilitoa machozi tena mbele ya umati na wao wakasema aa wapi. Ndo huyo rafiki yangu hadi leo ananiambia kinachoendelea huko. Mimi hata nilikuwa nishasahau na afu jaribu kujijua wewe ni nani sa hapo ndugu yangu umalaika umetoka wapi tenaKuna watu watapigwa kwenye huu uzi,
Kwahiyo wote wanaukufa kwa ajali walidhulumu?
Wewe unajuaje kua ukimsamehe ndio hatapata ajali tena?
Japo kudhulumu sio jambo jema ila punguza kujiona malaika.
Kwa hiyo unatushauri na sisi wengine tulio dhulumiwa, huku matapeli wetu wakidunda mtaani kwa raha zao! Tujaribu kutoa machozi 😭wameenda sehemu nying wanaambiwa ni dhuluma na mganga au mchungaji wanayeenda hanijui lakini anawapa hilo jibu na kwa kweli walipofanya hivyo nilitoa machozi tena mbele ya umati na wao wakasema aa wapi. Ndo huyo rafiki yangu hadi leo ananiambia kinachoendelea huko. Mimi hata nilikuwa nishasahau na afu jaribu kujijua wewe ni nani sa hapo ndugu yangu umalaika umetoka wapi tena
Lengo lako la kuleta huu uzi ni lipi hasa?wameenda sehemu nying wanaambiwa ni dhuluma na mganga au mchungaji wanayeenda hanijui lakini anawapa hilo jibu na kwa kweli walipofanya hivyo nilitoa machozi tena mbele ya umati na wao wakasema aa wapi. Ndo huyo rafiki yangu hadi leo ananiambia kinachoendelea huko. Mimi hata nilikuwa nishasahau na afu jaribu kujijua wewe ni nani sa hapo ndugu yangu umalaika umetoka wapi tena
Kwa hiyo unatushauri na sisi wengine tulio dhulumiwa, huku matapeli wetu wakidunda mtaani kwa raha zao! Tujaribu kutoa machozi
bora hata mama The Icebreaker angelizaa sufuria awe anachemshia maji ya kuoga. Ningelikuomba uanze kusoma headline uje usome post afu umalizie coment niliyomalizia uzi labda unaweza ukaelewa uzi unahusiana na nini ndnugu yangu au wewe ulikuwa unataka naindikeje?Lengo lako la kuleta huu uzi ni lipi hasa?
Kama umeumia kwanini tu usingewasamehe bila kuanzisha huu uzi?
Wewe hujawahi kumkosea mtu?
Wewe bora Mama yako angejipiga tu dole na kumaliza hamu kuliko kukuleta wewe duniani,bora hata mama The Icebreaker angelizaa sufuria awe anachemshia maji ya kuoga.
Hakuna mtu utampiga hapa,unajiona malaika mwema sio? wewe hujawahi kumkosea mtu?Ningelikuomba uanze kusoma headline uje usome post afu umalizie coment niliyomalizia uzi labda unaweza ukaelewa uzi unahusiana na nini ndnugu yangu au wewe ulikuwa unataka naindikeje?
Pole sana! Mbona wengine wanaandika ma paragraph marefu!my dear sipaste from anywhere simu ndo maneno 1024 nimeimalizia kwene coment plz