Nifanye nini kuondoa hili tatizo la computer yangu?


W

Wisest man

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Messages
995
Likes
88
Points
45
W

Wisest man

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2013
995 88 45
Habari wakuu! PC yangu inanisumbua nikichomeka modem na mouse havisomi hadi nichomoe kimojawapo, unakuta kuna ujumbe upande wa kulia kwa chini unasema.. USB can perform faster... ila cha kushangaza haisomi, tatizo ni nini na ni vipi naweza kulifumbua tatizo hilo?
 
I

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
1,955
Likes
536
Points
280
I

iMind

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
1,955 536 280
Drivers conflict. Jaribu ku update su ku install na ku update original drivers za usb hub. Pia kila device unayotumia hakikisha umeinstall the right drivers na siyo generic drivers.
 

Forum statistics

Threads 1,262,115
Members 485,449
Posts 30,113,470