Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Kupata mawazo mapya
Mawazo mapya naona unayakataa, au ulitaka kuambiwa uendelee na jamaa pamoja na kwamba kaka ashakupa ishara.Naomba namimi nikupe wazo jipya my dear "usikimbilie mume ukaukondesha moyo"
 
Mawazo mapya naona unayakataa, au ulitaka kuambiwa uendelee na jamaa pamoja na kwamba kaka ashakupa ishara.Naomba namimi nikupe wazo jipya my dear "usikimbilie mume ukaukondesha moyo"

Sawaa….
 
SEMA ni changamoto wewe ni kaka.

Mimi ni mama ananambia wanajeshi Malaya hao hawakai na wake SEMA wengne wa nyumbani wananisuport ila mama kakataa kata ..mtihani kweli, ..[emoji26][emoji26]
I wish niachane nae ila hakuna baya alilonifanyia zaidi ya kunitamkia mema Kila kukicha..

Kuhusu wanawake sihitaji kumchunguza na sjawahi...

Ishi nao watu wazuri sana hasa ukipendwa akienda kozi unaachiwa kadi ya ATM[emoji23]
 
Sawa sijakataa kufutaa ushaurii wake ila sasa kuwe na sababu za msingi ili hata home wanaponiuliza niwe na la kumjibu

Hivi mtu tu aniambie achana na huyo kaka kwasababu kabila Lao ni wachawi au wamalaya nitamuelewaje sasa
Wee huyo Kaka ako mpuuze, muambie akuache kukufatilia, hivi makaka wa siku hizi wakojee? Eboooh
 
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”

Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk sasa..

Sikujua kuwa mpenzi wangu anafahamiana na kaka yangu mpk siku nilipompost status nikimuwish happy birthday..

Kaka yangu alinifungukia kuwa wanafahamiana na wamepiga kozi wote kiufupi wanafanya kazi zinazofanana na wanajuana mpk vyumba wanavyoishi japo hawana urafiki ni ile wakikutana ndio wanakuwa marafiki..

Mpk Kaka yangu anakuja kufahamu nina mahusiano nae ilichukua mwaka mzima kumfahamu na sikumwambia kuwa tuna mahusiano nilimwambia tu marafiki

Kwa sasa tunaelekea hatua nzuri kaka yangu amenishikia king’ora kwamba huyo mwanaume hanifai niachane nae simuwezi.. ninapomuuliza sababu haniambii nikazielewa

Sababu mpk sasa nilioiona kubwa aliyoniambia ni kuwa

  • kabila la watu wa mwisho wa dunia sio kabila la kuolewa nao ( yeye ameishi sana huko so ana wafahamu)
  • Ni washirikinaa sanaa ( anaamini kwamba huyu mpnz wangu kanipata kwa madawa) alinipa kielelezo Kuna rafiki yake mwingine wa kabila hilo alimpata mwanamke kwa madawa matokeo wamezaa watoto wawili mwanamke akili imefunguka kakimbiaa

Kubwa la Leo ambalo limenifanya niombe ushaurii ni hili

Amesema kuwa huyu mpzn wangu alishawahi kutoa posa mahali halafu akahairisha kuoa.. na alimpa ujauzito huyo mwanamke ila aliukataa akasema atoe ujauzito,, mwanamke alipokataa kutoa mimba alimtumia hawara yake ampelekee Zawadi ya juice kumbe ndani ya juice kaweka dawa ya kutoa mimba

Hiyo story bro anadai kahadithiwa na ex wa mpnz wangu

Kiukweli nimeshindwa kuelewa nifanye nini.. Kijana nampenda na amekuwa mtu mwema kwangu mpk sasa tuna miaka 2 ya mahusiano sijaona baya kwake

Ushaurii wenu wakuu [emoji17][emoji17][emoji17]
Kuna kichaa cha mapenzi, kikiisha na kuwa na akili yako ndiyo utaelewa vizuri. Kila unaloambiwa unaona km mtu/watu hawakutakii mema.
Kumbuka kuna watu huwa wanaona kinachoendelea.
Mimi mwenyewe nilikuwa km wewe mbishi. Kuna mzee mmoja nilimuambia kuhusu mahusiano yangu na mwanamke mmoja.
Aliniambia "mwanangu, wewe ni imani tofauti na huyo mpenzi wako ni tofauti kwahiyo linapokuja kwenye masuala ya kijamii hamuwezi kuendana" nikajiuliza mbona mpenzi wangu yupo vizuri na hana shida? Aniache.
Kilichofuata, najuta sana. Natamani muda urudi nyuma, nifanyie kazi mawazo ya yule mzee ila nimeshachelewa.
Kwahiyo tafakari ndugu, ogopa sana ningelijua.
Mimi mwenyewe namkumbuka sana yule mzee
 
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”
Maana yake hamtoboi miaka 5 kwa hio tafuta Mzungu mwingine utengeneze MZUNGUKO
 
Back
Top Bottom