Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Me naona ungefata tu ushauri wa kaka yako....ila cha msingi sema na moyo wako
 
Mama Mzungu....

Mm ni mkubwa kwako...
Nina Ndoa ya miaka 15.....
Yanayonipata kwenye ndoa ya yanayopata wengine nayajua

Nakushauri hv....

Mskilize kaka yako..unataka kuvuka mstari ambao huwezi rudi nyuma...hao watu....hasa wanaume ni hatari sana
Ni majirani zangu

Kila kitu kimewekwa wazi mbele yako...utakuja kuchukia hii dunia na kila kitu...usije kulaumu mtu au kujilaumu.....

Nimekuonya kama Mtu Mzima...niliemzidi kaka yako miaka 15

Pole na pambana
 
Ukitaka kuoa kuolewa usipende sana kuziamini akili zako.
Sababu wewe ni mfungwa kupitia ngono huwezi jua Tabia ya mwenzao wako kuliko wasio na ushirika nae kingono.
Uteja wa ngono uficha Tabia mbaya ya mtu,majuto ndoani

Mmmmh
 
Mama Mzungu....

Mm ni mkubwa kwako...
Nina Ndoa ya miaka 15.....
Yanayonipata kwenye ndoa ya yanayopata wengine nayajua

Nakushauri hv....

Mskilize kaka yako..unataka kuvuka mstari ambao huwezi rudi nyuma...hao watu....hasa wanaume ni hatari sana
Ni majirani zangu

Kila kitu kimewekwa wazi mbele yako...utakuja kuchukia hii dunia na kila kitu...usije kulaumu mtu au kujilaumu.....

Nimekuonya kama Mtu Mzima...niliemzidi kaka yako miaka 15

Pole na pambana

Duuuh aisee nimeogopaa
 
Kuna story nyingi, ila hio ya kupewa dawa ya kutoa mimba ni uongo sana ni kitu hakiwezekani, first kwa sababu ya taste ya hio dawa, itaharibu juice nzima, pili utaratibu wa kuinywa hio dawa ulivyo haiwezekani kuweka kwa juice kizembe hivo

Labda ni sumu ya ambayo ingeharibu mimba
 
Sawa sijakataa kufutaa ushaurii wake ila sasa kuwe na sababu za msingi ili hata home wanaponiuliza niwe na la kumjibu

Hivi mtu tu aniambie achana na huyo kaka kwasababu kabila Lao ni wachawi au wamalaya nitamuelewaje sasa
kashakuambia kuna mwanamke alimpa mimbba akaikataa, we unaona sawa tu, ww ni sikio la kufa
 
kashakuambia kuna mwanamke alimpa mimbba akaikataa, we unaona sawa tu, ww ni sikio la kufa

Sina uhakika na hiyo story kwasababu kapewa na ex wake… mtu mpk kutoa posa means alimpenda huyo mwanamke alitaka kumuoa so kuna kitu kilitokea hapo kati mpk kukataa ujauzito ni story ya upande mmoja
 
Fuata ushauri wa kaka, wanaume tunatabia ya kufichiana mambo na tunafahamu siri za wengi, hivyo kaka yako atakuwa anafahamu mengi sana kuhusu huyo mchumba wako na ndio maana anakwambia hivyo
 
Fuata ushauri wa kaka, wanaume tunatabia ya kufichiana mambo na tunafahamu siri za wengi, hivyo kaka yako atakuwa anafahamu mengi sana kuhusu huyo mchumba wako na ndio maana anakwambia hivyo

Sawa mkuu
 
Sina uhakika na hiyo story kwasababu kapewa na ex wake… mtu mpk kutoa posa means alimpenda huyo mwanamke alitaka kumuoa so kuna kitu kilitokea hapo kati mpk kukataa ujauzito ni story ya upande mmoja
Unajitahid kumtetea si Uolewe tu Mama mbona unataabisha Jamvi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom