Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Nifanye nini Kaka yangu hamtaki mchumba wangu

Kwa sasa tunaelekea hatua nzuri kaka yangu amenishikia king’ora kwamba huyo mwanaume hanifai niachane nae simuwezi.. ninapomuuliza sababu haniambii nikazielewa
Mwambie akugonge yeye km huyo mwanaume hakufai, asikuumize kichwa kwani kugongwa unagongwa wewe au anagongwa yeye?
 
Mwambie akuoe yeye. Kama hawez awe tayari kumuita jamaa Shemeji.

Sisi wanaume huwa kwa namna flani inauma kuona mshikaji unayemfahamu et ndo anamtafuna dada yako. Dah yani boraatoke mbali lkn jamaa tu mmekua naye kitaa au shule ndo anamdinya sister ako inakua kama dharau flani hivi. Hapo ndo nachokiona kwa jamaa
 
Nyinyi mnaendeshwa na hisia sisi hapa tunakushauri kwa kutumia akili kwahiyo hatuezi kuelewana(+-) mamamzungu
 
Mwambie akuoe yeye. Kama hawez awe tayari kumuita jamaa Shemeji.

Sisi wanaume huwa kwa namna flani inauma kuona mshikaji unayemfahamu et ndo anamtafuna dada yako. Dah yani boraatoke mbali lkn jamaa tu mmekua naye kitaa au shule ndo anamdinya sister ako inakua kama dharau flani hivi. Hapo ndo nachokiona kwa jamaa
Au amwambie na yeye amtafute sister wa Jamàa amgonge ili kulipiza machungu kwani shingapi afanye hivyo amtafute dada wa shemeji yake amgonge na yeye kukata kilimilimi hio itakua both team to score ubao unasoma 1-1
 
Anasema ikitokea tumeoana hatutoboi miaka 5…. Namnukuu “ Mkitoboa miaka 5 niko pale uniite mbwa”

Ni kaka yangu mtoto wa mama yangu mdogo alielelewa nyumbani kwetu… yeye tayari ana familia yake mke na watoto yuko under 30 .. Ni kaka ambaye tumekuwa tukishirikishana mambo ya mahusiano yetu mpk sasa..

Sikujua kuwa mpenzi wangu anafahamiana na kaka yangu mpk siku nilipompost status nikimuwish happy birthday..

Kaka yangu alinifungukia kuwa wanafahamiana na wamepiga kozi wote kiufupi wanafanya kazi zinazofanana na wanajuana mpk vyumba wanavyoishi japo hawana urafiki ni ile wakikutana ndio wanakuwa marafiki..

Mpk Kaka yangu anakuja kufahamu nina mahusiano nae ilichukua mwaka mzima kumfahamu na sikumwambia kuwa tuna mahusiano nilimwambia tu marafiki

Kwa sasa tunaelekea hatua nzuri kaka yangu amenishikia king’ora kwamba huyo mwanaume hanifai niachane nae simuwezi.. ninapomuuliza sababu haniambii nikazielewa

Sababu mpk sasa nilioiona kubwa aliyoniambia ni kuwa

  • kabila la watu wa mwisho wa dunia sio kabila la kuolewa nao ( yeye ameishi sana huko so ana wafahamu)
  • Ni washirikinaa sanaa ( anaamini kwamba huyu mpnz wangu kanipata kwa madawa) alinipa kielelezo Kuna rafiki yake mwingine wa kabila hilo alimpata mwanamke kwa madawa matokeo wamezaa watoto wawili mwanamke akili imefunguka kakimbiaa

Kubwa la Leo ambalo limenifanya niombe ushaurii ni hili

Amesema kuwa huyu mpzn wangu alishawahi kutoa posa mahali halafu akahairisha kuoa.. na alimpa ujauzito huyo mwanamke ila aliukataa akasema atoe ujauzito,, mwanamke alipokataa kutoa mimba alimtumia hawara yake ampelekee Zawadi ya juice kumbe ndani ya juice kaweka dawa ya kutoa mimba

Hiyo story bro anadai kahadithiwa na ex wa mpnz wangu

Kiukweli nimeshindwa kuelewa nifanye nini.. Kijana nampenda na amekuwa mtu mwema kwangu mpk sasa tuna miaka 2 ya mahusiano sijaona baya kwake

Ushaurii wenu wakuu [emoji17][emoji17][emoji17]
Kwa akili ya kawaida kakaako hawezi kukuonea wivu lakini hakuna anayempenda nduguye aharibikiwe.
 
Back
Top Bottom